elimu

  1. Kinoamiguu

    GE2020 Tuelewana, siyo elimu bure kilichopo ni elimu bila ada msitudanganye

    Tundu Lisu popote ulipo heshima kwako mkuu, Waeleze watanzania kwamba wanachosema elimu bure siyo kweli watoto wa masikini bado wanalipia ELIMU TENA SANA mf 1. Nauli 2. Madaftari 3. Uniforms 4. Tutions 5. Pesa ya mlinzi 6. Pesa ya chakula siku za mitihani nk Wanaosema Tanzania kuna elimu bure...
  2. balimar

    Sikubaliani na Tangazo la Haki Elimu mnatudhalilisha

    Hello wana bodi!! Naomba kuuliza hivi hawa 'Haki Elimu' na Tangazo lao la Mwanafunzi hataki kwenda shule kwakuwa anatongozwa na mwalimu wake lina 'credibility' na 'validity' kiasi gani? Moja, hivi sample size yao kwenye huo utafiti ilikuwa ni walimu wangapi wenye tabia hiyo kiasi kwamba liwe...
  3. Sivan

    Elimu ya chuo kikuu ni kupoteza muda

    "Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga" Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
  4. B

    Mfumo wa elimu yetu Tanzania

    Habari za leo wanajamvi, pole na majukumu ya kila siku ya kulijenga Taifa letu. Nashauri wanafunzi wasome kuanzia darasa la 1 & 6, na wafundishe masomo matatu tu. Yaani Hisabati, Sayansi na Lugha. Na wahakikishe wanapowafundisha wanafunzi mfano somo la Hisabati, wajitahidi wawe wameandaa...
  5. Ubuntuwize

    Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Kwa mujibu wa takwimu za sasa ni kwamba, elimu inapanda mara dufu kutoka mwaka 2015 mpaka hivi sasa 2020. Kwa mtazamo huo ningetarajia kabisa watu wawe na uwezo angarau wa kuona mapungufu makubwa yaliotokea katika utawala wa miaka 5 ya bwana JPM. Tofauti na hilo wengi mamegeuka kuwa washabiki...
  6. Shaycas

    Elimu Popote kwa Yeyote

    Wadua habari. Kuna platforms ya kutoa/kupata elimu juu ya mambo mbalimbali. Unaweza kutoa au kupata elimu hiyo free au kwa kulipia. Kama wewe ndio unatoa elimu kwa kulipia, wadau watakaosoma watalipia na fedha hizo za malipo (75%) zinakuja kwako. Ubora wa content ndio wingi wa clients...
  7. E

    Maboresho ya Elimu ni mradi chini ya Benki ya Dunia, fedha zilizuiliwa kwa pingamizi la Zitto

    Napenda kuweka wazi juu ya huu mpango wa maboresho ya Elimu, huu mradi ulianza enzi ya utawala wa Mkapa kwa ufadhili wa Benki ya Dunia (World Bank) mradi huu ni matokeo ya mpango wa serikali kusamehewa madeni chini ya HIPC na unaenda hatua kwa hatua kulingana na mahitaji ya wakati na ufanisi wa...
  8. rumplelstiltskin

    PICHA: Mifumo yetu ya Elimu

    Hii picha hapa inaelezea mifumo yetu ya elimu watakao ielewa comment hapo
  9. wanzagitalewa

    Teknolojia ya kidijitali inavyoweza kuboresha Elimu Tanzania

    Wiki hii serikali imetangaza mpango wa kutekeleza mkakati mpya unaolenga kuboresha elimu ya sekondari nchini Tanzania. Akizungumza katika mkutano wa wadau wa elimu jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo alieleza dhamira ya serikali wa...
  10. Warue

    Kwa hapa alipofikia Tundu Lissu, elimu yake Sheria imefika mwisho, haiwezi tena kumsaidia

    "No one is above the laws of the country". Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug...
  11. K

    Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa. Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo. Hivi...
  12. pombe kali

    Soko la hisa toeni elimu Kuepusha kama mambo ya Desi na Mr. Kuku

    Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
  13. AbaMukulu

    Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

    Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu. Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
  14. A

    Ushauri kwa Serikali ili kuboresha Elimu nchini Tanzania

    Wadau heshima kwenu. Taifa lolote likitaka kufanikiwa ni lazima liwekeze kwenye elimu. Uongozi wa awamu zote umefanya ulivyoweza Kuboresha elimu nchini Tanzania. Serikali ya awamu ya tano nayo haiko nyuma na imejitahidi sana katika Kuboresha elimu. Serikali ya awamu ya tano ndiyo inayotekeleza...
  15. J

    Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika. Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo...
  16. S

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Sekta ya Elimu haijapata fursa ya kujadili changamoto zao au imetengwa?

    Wadau wa Sekta ya Elimu mnakwama wapi? Tokea Serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani Novemba 15 , 2015 , kumekuwepo na mikutano mbalimbali juu ya kujadiliana changamoto mbalimbali katika sekta husika nakumbuka mapaema tu baada ya serikali iliyopo sasa kuanza kazi , kuliitishwa mkutano...
  17. muzi

    Mkopo wa Elimu unapokuwa wa kinyonyaji

    Wanufaika wa mkopo wa elimu kilio kilio na ndo mana wengi wanakimbia wasilipe mkopo. Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika. Mkopo...
  18. MakinikiA

    Makada wa CCM wapewe elimu kuelisha wananchi manufaa ya ununuzi wa ndege

    Kuna baadhi ya makada wapewe mafunnzo namna ya kunadi mazuri ya yaliyofanywa na awamu hii ya 5
  19. Chizi Maarifa

    George Ambangile aliamua kubaki na heshima na matumizi sahihi ya Elimu. Jamaa ni kichwa kizuri

    Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge. Kitenge ametuuza sana...
Back
Top Bottom