Mara nyingi watu husikia mara kwa mara kuhusu maajabu 7 ya Dunia, ila wengi wao hawajui ni yapi. Basi tuwe pamoja katika kuyaelezea tupate kuyafahamu vizuri.. Maajabu hayo ni kama yafuatayo:
1: Piramidi za Giza (Misri ya Kale)
2: Mabustani ya Semiramis (Babeli)
3: Hekalu ya Artemis mjini Efeso...
Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia.
"WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
Tangu baada ya uchaguzi wa 2015 ni ukweli usiofichika kuwa Demokrasia ya vyama vingi imepitia katika mtihani mkubwa.
Zuio la shughuli za kisiasa kwa vyama pinzani,hamahama ya waliochaguliwa toka upinzani kwenda kuunga mkono juhudi, kesi za hapa na pale, uondoaji wa viongozi wa kisiasa katika...
Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19!
Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli:
Tanzania ilikataa kwenda Lockdown.
Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka.
Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai...
Leo nimekumbuka hali ilivyokuwa katikati ya miaka ya 70 wakati huo ambapo tayari nilikuwa mmoja ya wanamuziki kwenye kabendi ketu kadogo ka pale Iringa mjini. Kabendi kalikoitwa Iringa Jazz band lakini kutokana na mtindo wetu tuliouita Chikwala Chikwala, bendi iliishia kuitwa Chikwalachikwala...
Hii sio AFRIKA NA UAFRIKA. Leo nakusimulia kuhusu paka aliyenusurika kufa vitani mara tatu.
Paka ana roho ngapi? Utaskia watoto wanajibu ANA ROHO SABA Labda theory hii ya kikatili ya kumsifu paka ana roho saba ilianza kwa paka OSCAR. Kwenda JKT tu kwa vijana sasa ni mbinde. Kuna njemba moja...
Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe.
Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna...
Wananzengo uzi huu ni maalumu kwa maelezo ya picha bila maneno mengi. Kama una habari yoyote katika picha, tupia hapa bila kuandika maneno mengi. Comments ziwe fupi kama za Bujibuji
Awali ya yote napenda kutoa pole nyingi kwa Watz walioathirika na hili gonjwa kwa namna moja ama nyingine huku wakiendelea kupambana na Ugonjwa wa Corona kila mtu kwa staili yake tukiwa tumepoteza mwelekeo hasa baada ya wataalamu na wanasiasa nchini kutofautiana katika mbinu za kukabiliana na...
Kwa level ambayo dunia imefikia kwa sasa sio rahisi kuamini kwamba hadi sasa dunia imeshindwa kupata dawa au njia sahihi ya kuthibiti kirusi cha Corona. Ikumbukwe kuwa jamii ya kirusi hiki kipo tangu siku nyingi kitu kinacholeta ukweli kwamba tayari wanasayansi walikwishafanyia utafiti siku...
Mbinu za sasa kama isolation, masks etc zipo from time immemorial. Angalia age groups (bolded in red) most affected, ni zile zile kama za coronavirus -COVID-19)
The 1918 influenza pandemic was the most severe pandemic in recent history. It was caused by an H1N1 virus with genes of avian...
Imeonekana kwamba lockdown ya Corona inasababisha athari kubwa sana za kiuchumi duniani. Watu wanapoteza kazi, kampuni zinakufa, serikali zinakosa mapato nk. Ni dhahiri sasa kwamba lockdown zinatikisa hata mataifa makubwa kama Marekani kiuchumi - na ndio maana hata Tanzania imeepuka sana kuweka...
Coronavirus: Victoria ticket worker dies after being spat at
Ticket office worker Belly Mujinga died of coronavirus in April
A railway ticket office worker has...
Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu.
Leo tujadili hasa umuhimu...
Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi
Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama,
-mantle(2)
-crust(1)
-core(3)
Je unaisi itakuaje mtu akichimba shimo kutoka pande moja ya dunia shimo litokee upande wapili je akiruka kudumbukia kutoka...
Habari wana JF
Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu
====
Majibu
Tume ya Uchaguzi ( NEC) ndio husimamia na kuendesha chaguzi za Rais, wabunge na madiwani.
Vyama vya siasa ni wadhamini tu wa wagombea ambao kwa mujibu wa katiba ni lazima wawe wanachama wa vyama vya siasa.
Bunge kama muhimili ni chombo cha Wananchi ambacho hupokea majina ya wabunge ama wa...
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya hoteli.
Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran.
Taarifa zaidi kutoka Jeshi la Polisi zitakujia.
======
OCCID wa Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza,Masoud...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.