dunia

  1. Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu

    Newly Married Couple Commits Suicide over Wedding Debt in Kisumu Two families in Kisumu are mourning their two children who together committed suicide 4 days after their beautiful wedding. According to Sources, the newly married couples allegedly killed themselves because of the huge debt they...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kuelezea nini kinaendelea popote ulipo Tanzania na dunia nzima

    Karibuni wadau. Nashauri kila mtu aseme nini kinaendelea pahala alipo ili kama ni dharura isaidie kufikisha ujumbe kwa mamlaka husika. na kama ni heri labda unakula supu au mishkaki napo si mbaya ukitutoa udenda. Mimi kwa kuanzia nipo mitaa ya Ilala boma kwa sasa. Naelekea kibaruani kwangu...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Boris Johnson ni wazi kuwa Dunia inataka akina Trump, Magufuli na Jair Bolsonaro wengi yaani wazalendo wafia nchi zao kwa gharama yeyote

    Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa rasmi katika Umoja wa Ulaya (EU). _ Boris amesema ni jukumu lake kuindoa Uingereza kwenye Muungano wa...
  4. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Balozi Jaka Mwambi amefariki dunia leo

    Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliekaribu na familia hii ni kwamba, balozi mstaafu Captain Jaka Mwambi amefariki dunia leo
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

    Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani ==== Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali Mufuruki amefariki dunia leo Enzi za uhai wake Mufuruki aliwahi kuwa Mkurugenzi Huru, Mwenyekiti wa Bodi...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump aitaka Benki ya Dunia kuacha kuipa mkopo China, adai ina hela nyingi na kama haina inazitengeneza

    Rais wa Marekani Bwana Trump ameitaka Benki ya Dunia kusitisha kuipa mikopo China kwa sababu China ina pesa nyingi ambazo inakopesha nchi nyingine, iweje China anakopesha wengine kupitia mradi wake wa Road lnitiative halafu iseme haina hela iende kukopa Benki ya Dunia?
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania World Bank Report: Transforming Agriculture | Realizing the Potential of Agriculture for Inclusive Growth and Poverty Reduction

    Benki ya Dunia inazindua sasisho la 13 la Uchumi wa Tanzania lenye jina la 'Mabadiliko katika Kilimo: Kutambua Uwezo wa Kilimo kwa Ukuaji wa Pamoja na Kupunguza Umasikini,' linalotoa udharura katika kuunga mkono sera za umma na kusaidia Umati wa Watu katika uwekezaji wa sekta binafsi na kuchukua...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mfumo gani bora wa utawala unaifaa dunia?

    Wakati duniani kote kuna harakati kubwa za maandamano ya wananchi wanaotaka mabadiliko ya utawala kwa nchi zao.Harakati hizi zinakwenda sambamba na mauwaji makubwa ya waandamanaji kutoka kwa watawala.Wapo ambao baada ya hasara wanazozipata wanafanikiwa kupata wanachokitaka. Wale ambao...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yasema ukuaji wa uchumi wa Tanzania utaongezeka 2020 kwa 5.8% na si kwa 7%

    Uchumi wa Tanzania utakuwa kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa na makadirio ya asilimia 5.6 mwaka huu na ukuaji utaongezeka hadi asilimi 6.1 mwaka 2021, kulingana na ripoti ya benki ya dunia siku ya Jumanne. Matarajio ya benki ya dunia yapo chini ikilinganishwa na makadirio ya asilimia...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

    Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar. Bw. Kheri amesema...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' afariki dunia

    Aliyekuwa Msanii wa Muziki, Cheka Hija Mzee maarufu 'Bibi Cheka' amefariki dunia leo mchana Novemba 28 katika hospitali ya Mloganzila Mkoani Dar. Kwa mujibu wa mtoto wa Msanii huyo mkongwe, aliyefahamika kwa jina la Adam Juma amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo. Bibi...
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Filamu na maigizo ya Hollywood yanaiharibu dunia

    Ningepewa fursa ya kuchagua generation ipi niishi basi chaguo langu lingekuwa kuz 1880 - kuf 1960 maana huu utandawazi uchaniacha salama nimekuwa mtumwa ili kuendana na kasi ya maisha ya karne ya 21. Turudi kwenye mada. Filamu hutuburudisha na pia hutufundisha lakini kwa trend ya filamu za...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Brazil yanyakua kombe la dunia michuano ya wachezaji chini ya miaka 17

    Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali. Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil Gabriel Veron amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo wakati mchezaji Matheus Donelli wa Brazil...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Brazil washinda Kombe la Dunia U17

    Our team in the U17 World Cup: 7 matches 7 wins 19 goals scored 6 goals conceded Winners of the tournament and 100% in all competition. Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on Twitter
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Instagram yaanza majaribio ya kuficha 'likes' dunia nzima

    Wiki iliyopita mtandao wa kijamii wa Instagram ulitangaza kuanza kuficha idadi ya likes kwenye posts za watu mitandaoni ili kuondoa msukumo mkubwa na kufanya mtandao huo kuwa kijamii zaidi kuliko kuwa wa mashindano ya kupata likes. Leo Instagram wataanza mpango huo kwa dunia nzima baada ya...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars, Omari Gumbo afariki dunia

  17. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika, acheni kupost post mapicha yenu huko mitandaoni

    Nilikuaga sielewi kwanini kuna sehemu ukipita huruhusiwi kupiga picha, nilikuwa hata sijui kwanini. Nilikuwa sifahamu kwanini familia flani flani hasa za kifalme sio watu wapenda mapicha picha, kujionyesha onyesha.Nilikuwa sitambui kwanini yote hayo ni "marufuku" kwa aina flani ya watu nilidhani...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Dunia imejawa na kila kitu cha kila mtu wivu ni uzembe wa kufikiri

    Usipojitambua mwenyewe wanaojitambua watatafuta namna ya kukutambulisha na wewe kukubali utambulisho huo kuwa ni wewe. Dunia umejawa na upekee kwa ajili ya kila mtu wapekee kama wewe na siyo mwingine na hii inatokana na ukweli kuwa upekee ndiyo ladha ya maisha "varieties is the spice of life"...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tarehe 24 Novemba, 2019 kiza ni kinene na dunia masikio yapo Tanzania

    Sijui ni za kunyapia nyapia ama kweli ila uchaguzi Serikali za mitaa ni zaidi ya Korosho wenye akili zinawauma japo yaliotokea Zanzibar yanaweza kufanyika hapa kwetu. Japo yakifanyika mjue mabeberu watajibu kwa silence ya ule usiku wa Yesu kufufuka. Fukuto hili litaendelea mpaka uchaguzi 2020...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

    Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
Back
Top Bottom