dunia

  1. Samwemgomba

    Dunia imeenda kasi sana, teknolojia imekuwa kubwa mno watanzania na waafrika bado tupo kwenye dimbwi la usingizi mzito

    Ndugu wana jamvi, amani ya bwana iwe nanyi wote. Naam dunia imeenda kasi sana, maendeleo ya sayansi na teknolojia ni makubwa sana katika kipindi hichi kuliko wakati wowote mwingine katika historia ya uwepo wetu sisi binaadamu hapa duniani. Wakati mataifa ya dunia ya kwanza (MAREKANI, CHINA...
  2. beth

    Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

    LICHA ya serikali kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini, Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imetaja vikwazo 12 vya ufanyaji biashara nchini. Katika ripoti hiyo ya mwaka 2019/20 imeonyesha kuwa Tanzania imeboresha baadhi ya mambo kiasi ya kuifanya kushika nafasi ya 141 kati ya 190 mwaka huu...
  3. T

    TANZIA: Mwanasiasa mkongwe na Mwanzilishi wa CUF, James Mapalala afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe Mzee James Mapalala amefariki dunia leo katika hospitali ya Kairuki. Mungu amuweke mahali pema. Mzee Mapalala alizaliwa Februari Mosi, 1936. Mtoto wa Mzee Mapalala, Bernard James amesema baba yake amefariki dunia leo saa 4:30 asubuhi hospitali ya Kairuki alikokuwa tangu wiki...
  4. Miss Zomboko

    Marekani: Dozi ya kuongeza makalio yasababisha kifo kwa mgonjwa

    Donna Francis amekiri mashtaka ya mauaji yaliyotokana na uzembe baada ya kumfanya upasuaji mwanamke (34) ambaye alienda kwake kwa ajili ya tiba ya kuongeza makalio Donna ambaye hana leseni ya kufanya shughuli za kitabibu alikuwa akifanya upasuaji wa kuongeza maumbile kwa mwanamke huyo mnamo...
  5. Daisy Llilies

    Tuje kwenye elimu ya dunia, unapelekwa kwa mganga Kariakoo, mganga anaendesha Vitz amevaa raba mtoni

    Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie mafuta. Mganga anakutuma ulete kilo mbili za mchele, nazi mbili na jogoo mweupe usafishwe nyota...
  6. Bess

    Dunia kuwa na Serikali moja?

    Ni pale nchi zenye majeshi na vifaa hatari mfano; Marekani na Russia wakianza kushirikiana kijeshi na kila mmoja kutooona tishio kwa mwenzake ujue wakati wa serikali moja umefika. Ni pale UN itakapokuwa na jeshi lake, lenye kupokea order kutoka baraza moja la kijeshi ujue dakika za kutawaliwa...
  7. Kaka Pekee

    Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

    Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake. Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
Back
Top Bottom