Masache Kasaka amethibitisha kifo cha Baba Yake kwa kusema amefariki dunia kutokana na tatizo la moyo lililokuwa linamsumbua. “Wakati anaedelea na matibabu katika hospitali akapata mshituko wa moyo uliosababisha kufariki dunia,” . Msiba uko nyumbani kwake, Chunya mkoani Mbeya, “na mazishi...
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
".......yupo DAS nasikia anamapungufu ya kimaadili, anachukua wake za watu, sasa natengua uteuzi wake, RC nani unadhani anawezaweza hii kazi?"
RC: Yupo afisa tawala wa wilaya anaweza.
Rais; Mama unaelimu gani?
Mteule; Nina masters in Public administration.
Rais; Umeteuliwa kuwa DAS kuanzia...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana ya IMF ni kwamba inakadiriwa uchumi wa funia utasinyaa kwa 5% ndani ya miaka miwili ijayo tofauti na makisio ya awali ya 2%.
Imeelezwa pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa ajira Afrika na duniani kwa ujumla.
Ombi langu niwaombe viongozi wote wa Upinzani...
Nimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi.
Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi gani? Mpaka hii mijemba kuona chuo kizima ni yeye tu wengine hawafai mpaka wakaanza kumgombania...
Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
Kawaida ya dunia baada ya kama miongo kadhaa lazima iingie kwenye reset mode, pale ambapo kunakua na maafa makubwa na maangamizi kila mahali, hii huwa haikwepeki, corona imeanza kwa kubip ila ndiko tunakokwenda, India na China waanza chokochoko na ikumbukwe wote wawili ni wababe wa nyuklia...
Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
Kama inavyojieleza hapo
=======
IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust
The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3...
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza aaga dunia.
===
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza (55) amefariki dunia. Taarifa ya serikali imeeleza kuwa alikuwa hospitali akisumbuliwa na tatizo la moyo.
Serikali ya Burundi imetangaza kifo cha Rais wa nchi hiyo, Pierre Nkurunziza (55). Mshtuko wa moyo...
Tundu Lissu (MB-CHADEMA na Mnadhimu- KUB)alishambuliwa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 30 na WATU WASIOJULIKANA akiwa Dodoma mchana kweupe tarehe 7 Septemba, 2017. Lakini Mungu aliingilia kati kunusuru Uhai wa Mhe. Lissu. Mpaka sasa ni miaka 2 imepita walomshambulia hawajakamatwa!
Leo tena...
Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia
Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge.
Mahakama Kuu kupitia...
Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
Hapa nazungumzia weapons of mass destruction
Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu.
Silaha zikiendelea kuzinduliwa nahisi siku ikitokea hata ugomvi wa russia na china basi bara lote la asia linaweza kumeguka
Kwa ukubwa wa kiumri na majukumu iliyoyonayo CCM si haki wala wajibu kutumia muda wake mwingi kushughulikia vyama vidogo vidogo vya upinzani mfano wa Chadema na ACT wazalendo.
Ifike wakati sasa CCM ijikite kushughulikia maswala makubwa ya uchumi katika level ya taifa na ile ya mtu mmoja mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.