Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,220
- 27,421
Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka.
Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi, kiuchumi na kisiasa.
Wanasubiri tu Trump abariki muswada huo kwa kumwaga wino Tanzania ishughulikiwe.
Kwa miongo kadhaa media na wachambuzi wa Magharibi wakiongozwa na Marekani wamekuwa wakiiaminisha dunia kuwa China haina Demokrasia, uhuru wa maoni, wala uhuru wa vyombo vya habari hakuna.
Na kama haitoshi wanasema kuwa Serikali ya China huwa inawanyanyasa, kuwatesa na kuwaua jamii ya Waislamu iliyopo Xinjiang.
Mbona hao Marekani bado wanafanya biashara za billions of dollars na China?
Nchi ambayo haifuati Demokrasia ya Magharibi na wanadai inaua Waislamu Xinjiang?
Wamuondoe Xi na chama cha CPC basi tuone au waondoe economic cooperation na China.
Lakini ndio kwanza wiki 2 zilizopita Trump alienda kutafuta deals China. Dunia ina unafiki sana, inataka akili sana ku-deal na Marekani na nchi za Magharibi.
By the way hapa ni mahali Watanzania waondoe uCCM, uCHADEMA, uhanarakati, na Pro-U.S mentality panataka akili sana. Kwa sehemu muswada ulisema:

Directs the Administration to evaluate the extent of the People’s Republic of China’s military, economic and political engagement in Tanzania, including cooperation that could undermine democratic institutions and U.S. interests in the region.
Hizo interests za Marekani ni zipi?