Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,063
Reaction score
47,032
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu.

The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.

Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.

Nimerejea rasmi likizo imeisha

Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻

Britanicca
 
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.

Umeanza tena uongo wako...
 
this is pure nonsense article of the day 🐒
 
Sasa kama madereva wakati huu ajisogeza kwa maskafu ile hotuba aloitoa kuhusu marathon ya 2030 ilimlenga nani?

Maana wengi walisema alimlenga maskafu.

Au madereva ni double agent?
 
Back
Top Bottom