Wakati huu dondoo kubwa ya taifa na ambayo serikali yetu inaipa msukumo mkubwa ni mapambano dhidi ya kirusi corona. Mapambano haya hayana mzaha wala kebehi na yanadai umoja na mshikamano wa kitaifa. Usemi wa Ndg. Polepole kwamba corona ni sawa na wapinzani ni lugha ya mtu anayeligawa taifa...
Come to think of it.
Ndio maana Mungu alisema kwenye kitabu cha KUTOKA 22:18 " Usimuache mwanamke mchawi aishi"
Kwa Mungu ambae Ndio ametuumba watu wote, kuliko mwanamke kuachwa hai akiwa na nguvu za Uchawi ni Heri Kwa mwanamke huyo kuuwawa kuliko kuachwa aishi.
Na hii ni Kwa sababu Mungu...
Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“.
Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana...
Dakika chache tu zilizopita, Rais wa Marekani Bw. Donald J. Trump, katangaza kuwa shirika la madawa la Marekani, FDA, limeruhusu dawa ya malaria, ambayo wengi wetu tumeitumia sana, kuanza kutumika katika kutibu virusi vya Corona.
Chloroquin, ndo dawa yenyewe. Matumizi yatakuwa kwenye hatua ya...
IMPACT: - Empty clearance hall at the Namanga's One Stop Border Point on Wednesday as COVID-19 kept travellers away. The impact of Coronavirus is threatening crossborder trade between Kenya and Tanzania.
Activities at Namanga’s One-Stop Border Post (OSBP) are grinding to a halt as Kenya and...
Tamko la Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juu ya Ugonjwa wa Corona
Ndugu Watanzania
A: Utangulizi
Dunia imekumbwa na ugonjwa wa Covid - 19 (maarufu zaidi kama Corona). Nchi yetu kama sehemu ya dunia haijasalimika na kadhia hii. Machi 2, 2020 wakati nikitoa hotuba yangu kwenye kikao cha...
Jana serikali ilitangaza hatua za kudhibiti Corona katika vyombo vya usafiri na kuwataka wenye mabasi wote kupakia "level seat"
Leo Waziri wa Afya wa Kenya ametangaza mabasi ya daladala (matatu) kupakia abiria 60% ya uwezo wake akisema yale ya abiria 25 yapakie 15, yale ya abiria 20 yapakie 12...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema Mwananchi wa kawaida hana ruhusa ya kutangaza kuwa mtu ana #Coronavirus kisa umemuona Hospitali kwani Mamlaka hayo anayo Waziri wa Afya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais
Amesema “Mkoa wangu ndio unaongoza kwa wajuaji, sasa niwaombe msilete ujuaji...
Najiuliza tu kwa kuwa hayo mataifa niliyoyataja ndio wafadhili wakuu wa vyama vya siasa nchini kuanzia CCM, Chadema hadi ACT wazalendo.
Baadhi ya vyama siyo rahisi kusimama vyenyewe bila ufadhili na hasa ukizingatia ruzuku itakata rasmi mwezi June.
Natafakari tu wakuu.
Maendeleo hayana vyama!
Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba AFYA NDIO MTAJI WA NCHI KUJIENDESHA;
Ndio, yaani inabidi huduma za afya zitolewe bure na zigaramiwe na serikali.
Serikali za dunia mpaka sasa zimeshuhudia hasara kubwa sana kutokana na janga la CORONA, kwamba watawaliwa hawafanyi kazi...
Tangu nchi ipate uhuru haijawahi kutokea hata siku 1 wanafunzi wa vyuoni/mashuleni,nk wakakutana nyumbani kwa pamoja kwa muda mrefu kama huu tuliotangaziwa na Waziri Majaliwa, ilikuwa ni mpishano primary wakiwa likizo chuo wapo masomono, wanachuo wakiwa likizo primary wanaenda tuition, yaani ni...
Hapa katika nchi ya Switzerland hali haikuwa ya kutisha, lakini tangu wiki hii ianze mambo yamebadilika Corona anasambaa kwa kasi, mpaka leo kwa takwimu za serikali tayari kuna caases 4002 nchi nzima waliothibitika na ugonjwa huu na watu 982 ambao ni wa maambukizi mapya, watu waliokufa mpaka...
Wanabodi,
Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities.
Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano.
Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa...
Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine.
Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
Mwanamuzi Khamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kupitia akaunti yake ya Instagram, amepakia video na kuweka ujumbe unaosema
Majibu ya vipimo vyangu vya Covid 19 yamerudi chanya. Inaudhi. Siumwi KABISA. Nipo sawa 100%. Na nimejitenga toka niliporudi...
Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona.
Serikali kupitia waziri wa...
"Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
Pakua handbook bure chini katika .pdf format... Very resourceful. Wanajamvi tuweke handbooks zote, video illustrations, and any other pertinet information to share with fellow citizens on how we can prevent and control the coronavirus. This thread is intended to leverage in research and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.