Corona: Wakati Tanzania imetangazwa mabasi yapakie level seat huko Kenya matatu zaagizwa kupakia 60% ya uwezo wake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,749
Jana serikali ilitangaza hatua za kudhibiti Corona katika vyombo vya usafiri na kuwataka wenye mabasi wote kupakia "level seat"

Leo Waziri wa Afya wa Kenya ametangaza mabasi ya daladala (matatu) kupakia abiria 60% ya uwezo wake akisema yale ya abiria 25 yapakie 15, yale ya abiria 20 yapakie 12 na yale ya abiria 14 yapakie 8

Athari za kiuchumi zimeshaanza kuonekana Afrika ya Mashariki

Maendeleo hayana vyama!
 
Wacha kushabikia upumbavu wa Nairobi! Unajua shida ya maji iliyopo Nairobi mpaka ushabikie approach zao? Try to use ur common sense tafadhali!
Kwahivyo siku za kawaida daladala zenu huwa zinabeba abiria wengi kupitiliza kwasababu Dar kuna maji. Huku matatu za Nairobi zikilazimika kubeba idadi ya abiria inayofaa kwasababu Nairobi hakuna maji kama unavodai au ndio unajaribu kumaanisha nini?
 
level seat umeambiwa sasa nyie mmefanya 60% kitu ambacho naelewa risk ni kubwa as hamna maji Nairobi!

level seat umeambiwa sasa nyie mmefanya 60% kitu ambacho naelewa risk ni kubwa as hamna maji Nairobi!

Hivi karibuni kutakuwa na 'total lockdown', najarajia ikifika siku hiyo utasema kwamba ni kwasababu Kenya hakuna umeme.
 
Back
Top Bottom