Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya.
Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi.
Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma.
Mara namsikia...
Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe asingeumwa Corona, Mbowe angeliingiza Taifa kwenye Machafuko ya Kisiasa.
Juzi Rais Katoa agizo kuwa...
TUNAWE MIKONO, TUFUATE MAELEKEZO, TUSIBEZE JITIHADA ZA TAIF A, TUOMBE BILA KUKOMA TUPIGE KAZI, TUPENDANE, VITA IWE YETU SOTE KAMA TULIVYOFANYA 1979 KUWAKOMBOA WAGANDA.
Baadhi ya Wasafiri waliofika Uwanja wa Ndege wa Dar na kutakiwa kujiweka Karantini kwa gharama zao wakilalamika kuwa wametakiwa kukaa hoteli zenye gharama
Wasafiri hao wameomba msaada kwa Mamlaka hususan Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwani wametakiwa kukaa katika hoteli za Southern Sun, Rungwe...
Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu Benjamin Netanyahu.
Spika wa sasa Yuli Edelstein wa chama cha Likud cha Netanyahu alikuwa amepuuzilia...
Baada ya Makonda kutangaza mtoto wa Mbowe kuwa ameugua korona,jambo ambalo lina muelekeo wa kisiasa,naanza kujiuliza kama bado ni sahihi(salama) kwa wapinzani kupima ugonjwa huu humu ndani ya nchi na hasa wabunge wa upinzani ambao watapaswa kupimwa sambamba na wenzao wa CCM kabla ya kushiriki...
Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa.
Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii.
Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
Nina wasilisha hoja hii miye kama mtanzania mwingine yeyote mwenye haki ya kutoa mawazo yake kwa maslahi ya nchi yake.
Ninaandika haya kwa uchungu nikifahamu pia kuwa kumekuwa na kutishana kusiko kuwa sahihi kwa watoa maoni hata wale wa nia njema tu kuhusiana na huu ugonjwa.
Hata hivyo ni...
Rais Cyrill Ramaphosa ametangaza siku 21 za wananchi wote kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa virusi vya Corona ambavyo mpaka sasa vimeathiri watu zaidi ya 400 nchini humo.
Ramaphose amesema wakati wa mpango huo ambao unatarajiwa kumalizika Aprili 16 hakuna mtu...
Nimemsikia Rais Trump wa USA kupitia BBC akisema uchumi wa nchi yake unatikisika na kusimamisha kazi na shughuli za kiuchumi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko ugonjwa wenyewe wa Corona.
Ngoja nirudie kusikiliza hotuba za viongozi wetu wakuu na ile ya KUB Mbowe aliyoitoa jana halafu nitarejea...
President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said.
“This sends a strong message - we will not let those hoarding vital supplies & price gougers to harm the health of America in...
Waziri Mkuu ametangaza kamati 3 zitakazoshughulikia suala la Corona.
Mh Majaliwa amesema kamati ya kwanza ni ya mawaziri itakayoongozwa na yeye mwenyewe akishirikiana na Ummy Mwalimu.
Ya pili ni kamati ya makatibu wakuu itakayoongozwa na Katibu mkuu kiongozi Dr Kijazi.
Kamati ya tatu ni ya...
Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema wageni wote wanaoingia jijini wakitokea nchi zilizoathirika zaidi na corona watawekwa karantini ya siku 14 katika hoteli maalum kwa gharama zao wenyewe.
Makonda amesema Hotel hizo hazitatangazwa kwa sababu za kiusalama na kuepusha unyanyapaaji kwa wageni...
Moja kwa moja kwenye mada. Waswahili wanasema asiyejua maana haambiwi maana.
Kwamba haka kaugonjwa ni ka upepo tu katapita. Na kwa kuwa sisi tu wacha Mungu sana sijui kuliko nani, basi sisi tumemwachia yeye.
Vipi mambo yakienda ndivyo sivyo (katu hatuombei hivyo), je tutasema Mungu katususa...
Ni vizuri Kushtuana wakuu.
Kuna Lab testkit na vifaa mbalimbali vya matibabu 1.1 Mil kutoka kwa kampuni hiyo.
Kama vimetumwa afrika basi na sisi tuvifukuzie huko mapema.
Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi.
Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka
Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo: Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications - JamiiForums
Hii ni kwa mujibu wa ukurasa wa Twitter wa mh Lazaro Nyalandu.
Don't go away....
Update....
Update.... clip ya speech yenyewe iko hapa
Live: Freeman Mbowe akiongea na waandishi wa Habari muda huu jijini Dodoma - JamiiForums
Kirusi cha Corona, sio tu ni kirusi kinachoathiri watu kiafya pekee, bali kiuchumi pia. Na kuna uwezekano mkubwa wa uchumi kubadilika kwa kipindi hiki.
Had sasa kirusi hiki kimeshaathiri burudani, usafiri na utalii kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni shughuli hizo zimepata zuio la wazi. Mambo mengine...
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) inaangalia uwezekano wa kuahirisha michuano ya Tokyo 2020, na imejipatia wiki nne kufanya maamuzi.
Bodi ya Utendaji ya IOC iliyokutana Jumapili jioni huku kukiwa na shinikizo kutoka kwa wanariadha na kamati za kitaifa za Olimpiki wakitaka michuano hiyo...
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona nchini mwake. Katika taarifa yake hiyo Khamenei alirejea kuizungumzia dhana ya kwamba virusi hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.