corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

    Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kirusi kinachotisha kuliko Corona ni uoga/ hofu

    Dunia nzima sasa ni kama imesima kwa sababu ya hofu ya kirusi cha Corona. Watu hawaendi makazini. Shule zimefungwa. Michezo imesitishwa. Matamasha hakuna. Mikusanyiko marufuku. Madukani kuna uhaba wa baadhi ya bidhaa hadi watu wanatwangana ngumi wakigombea makaratasi ya chooni. Eti yote hayo...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tamko juu ya tiba asilia na tiba mbadala dhidi ya ugonjwa wa Corona litoke mapema

    Sera ya afya ya 2007 imekiri kuwa takribani asilimia sitini ya wananchi huanza kutumia tiba asilia wanapopatwa na maradhi kabla ya kwenda vituo vya kutolea huduma za afya. Aidha, hivi karibuni tiba mbadala imepata umaarufu miongoni mwa wananchi kutokana na uimarikaji wake duniani. Kadhalika...
  4. dubu

    JamiiForums Tanzania Dada aliyekutwa na Corona Tanzania siyo bure

    Nimejaribu kuwaza na kuchambua jinsi huyu Dada aliyebainika kuwa na virusi vya Corona, nimejiuliza maswali mengi sana. Baada ya kufuatilia kwa kina nimeambiwa jina lake ni Isabela Mwampamba, umri wake ni miaka 46. Simulizi ya safari yake ndio jambo kubwa limenifanya niwaze sana na kujiuliza...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

    Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa CHADEMA alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu. Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World...
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania The Coronavirus incident has been repeated on planet earth from Mars

    Adam na Hawa walipoumbwa waliwekwa kwenye bustani ya Eden. Hiyo bustani ya Eden haikuwa hapa duniani. Bustani ya Eden ilikuwa kwenye sayari iitwayo Venus au Zuhura Kwa Kiswahili. Baada ya Adam na Hawa kuvunja maagizo ya Mungu, Mungu aliwaondoa katika bustani ya Eden ( Sayari ya Venus ) na...
  7. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Usiku wangu na mgonjwa wa Corona virus

    Mimi ninafanya kazi kama freelance, ninalipwa kutokana na shift ninazofanya. Tarehe 5 usiku niliamua kufanya night shift amabayo hunilipa malipo zaidi kuliko day shift. Kwakuwa Nina mambo mengine night moja kwa wiki inatosha kulipa bills za wiki, chakula na mafuta ya Gari. Nilifika kazini saa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Bunge la bajeti mwezi Aprili - Juni liendeshwe kidigitali fedha itayookolewa isaidie mapambano dhidi ya Corona

    Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna. Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote. Fedha...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tutaweza kuidhibiti Corona in case ikifika kwetu?

    Ni wazi kuwa Corona ndo habari ya mjini kwa sasa ukizingatia vifo vilivyotokea na vinavyoendelea kusababishwa na ugonjwa huu. Tunashukuru kwa kuwa bado hatujatembelewa na ugonjwa huu, japo nchi jirani zetu kama kenya na Rwanda tayari kuna some cases na tayari wameshachukua measure ambazo ni...
  11. Bishop Hiluka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coronavirus: Wauguzi wa wagonjwa wa corona Kenya waanza mgomo baridi

    Wauguzi wanaofanya kazi katika wodi iliyotengwa kwa watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya wameanza mgomo baridi kulalamikia kile wanachodai kuwa ukosefu wa vifaa vya kujikinga na mafunzo ya kutosha. Hospitali ya Mbagathi katika mji mkuu wa Nairobi, ni moja ya hospitali zilizo na...
  12. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania Corona Virus Mauritania yafunga Airport

    Habarini wanajanvi. Jana nilirudi kazini Mauritania. Watu wote tuliofika na Ndege za jana tumewekwa kizuizini kwa siku 14 kuangalia kama tuna maambukizi ya Corona virus. Hivyo tutakuwa hapa hotelini kwa siku 14. Haturuhusiwi kutoka vyumbani na wala kukutana na watu. Pia leo Airport imefungwa...
  13. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Habari zenu wakuu, Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi Very nice for our caring president ,long live baba --- Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mtu kama huyu ni binadamu au shetani? Anaombeaje Corona ifike Tanzania. Kuiombea nchi yako majanga, sio zaidi ya uendawazimu? Huu sio ushetani?

    Wanabodi Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Corona Part -1

    CORONAVIRUS - FAKE ! This morning at 4:30 a.m., Canadian Prime Minister Justin Trudeau was served a criminal indictment by the U.S. for corporate and financial crimes. Media owners were instructed to brainwash everyone that Trudeau and his wife have the Corona virus, and that they won't be...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

    Mkuu wa mkoa wa DSM ametoa mwongozo rasmi wa kudhibiti uwezekano wa virusi vya Corona kuingia mkoani Dsm. Mambo muhimu ni pamoja na vyombo vya usafiri kutojaza abiria kupita uwezi wake kisheria. Vyombo vya kunawia kuwekwa katika stendi zote na majumbani Kuepuka kusalimiana kwa mikono na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Corona Virus made some changes Mexico now urges USA to hurry up with the wall of

  19. Trubarg

    JamiiForums Tanzania CORONA: Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua na matumizi ya hand sanitizers (Viua vijidudu)

    Sanitizer Ni Aina ya kemikali inayotumika katika kuua vijidudu Kama bacteria, fangasi, virusi n.k. Hutumika pia maeneo mbalimbali Kama viwandani, hospitalini na hata kwenye maabara. Sanitizer huwekwa michanganyiko mbalimbali ikiwemo marashi, rangi n.k. Component muhimu inayoua vijidudu Ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Back
Top Bottom