corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mitale na midimu

    Italy: Asilimia 99 ya waliokufa na Corona walikuwa na magonjwa mengine

    Hii ni kwa mujibu wa Mamlaka ya afya ya nchi hiyo. Wengi wao walikuwa na Ugonjwa wa shinikizo la damu, kisukari na matatizo ya moyo. Chanzo: Bloomberg ==== 99% of Those Who Died From Virus Had Other Illness, Italy Says More than 99% of Italy’s coronavirus fatalities were people who suffered...
  2. Sky Eclat

    Tume huru bado hii ni corona

  3. Kitambi chakufutia tachi

    China inaonekana kuibuka na ushindi dhidi ya janga la Corona

    Wakati nchi nyingi zikiingiwa na taharuki kutokana na kuenea kwa virusi vya corona nchini China katika jimbo la Guizhou Kusini-Magharibi mwa nchi hiyo wanafunzi wameanza kurejea mashuleni kama kawaida pasi na vilinda pua na midomo (mask). Taarifa hii ni kwa Mujibu wa kituo cha habari cha Taifa...
  4. Tabutupu

    Serikali isipofanya haya inataka kuua raia wake kwa coronavirus

    Mambo mawili tuu 1. Inatakiwa kuhakikisha ina coronavirus Test kits za kutosha mijini na vijini 2. Inatakiwa kuhahakisha kuna stock za kutosha za Masks . Added.. 3. Inatakiwa kuhakikisha wananchi wapo salama kwa kuzua maambukizi kutoka maeneo ambayo tayari yameadhirika.. lockdown. 4...
  5. Sky Eclat

    Maofisa wa Afya South Sudan wakimpima afya mkwe wa Malkia Elizabeth airport

    Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege. Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on arrival, with the Queen's ambassador to South Sudan Chris Trott writing on Twitter: "Very pleased to...
  6. K

    Mpiga chafya aleta balaa kwenye gari, Wananchi wamteremshia Bunda kisa hofu ya Corona

    Wakuu sitaki tuchoshane, amani iwe kwenu! Leo asubuhi kuna jamaa yangu moja wa kitambo yuko huko Musoma kanipigia simu akinieleza kuwa kuna mgonjwa wa corona Bunda na mwingine Musoma mjini. Nikamdadisi hakuwa na taarifa sahihi nikamwambia asipanik na wala asieneze uzushi wanaweza kuleta...
  7. Maboso

    Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  8. The Assassin

    Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

    Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar. Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari...
  9. Makirita Amani

    Wakati dunia inafungwa, wewe fungua vitabu (vitabu 12 vya kusoma wakati unajikinga na virusi vya Corona)

    Kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa mafua makali unaoendelea kwa sasa duniani, dunia imefungwa. Karibu kila nchi duniani imesitisha safari kati ya nchi moja na nyingine, hivyo watu wanaofanya kazi kwenye sekta za usafirishaji, malazi na utalii kwa sehemu...
  10. J

    Zanzibar: Watu wawili washukiwa kuwa na Virusi vya Corona huko Zanzibar, sampuli zatumwa Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi

    Waziri wa afya Zanzibar Mh Hamad Rashid amesema Zanzibar kuna washukiwa wawili wanaodhaniwa kuwa na virusi vya Corona na kwamba sampuli za damu zao zimetumwa Dar es Salaam kwa uchunguzi zaidi. Chanzo: ITV habari! =====
  11. B

    Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

    Kumbe dereva taxi alimchukua abiria huyu tokea KIA moja kwa moja hadi Arusha hotelini. Tokea hotelini alikwenda nyumbani kwake ambako ana mke na watoto 4. Wote hawa alishikana nao mikono. Tokea nyumbani siku hiyo hiyo akapata abiria 2 kuwapeleka Karatu. Huko kuna shule ya watoto yatima ambako...
  12. alphonce.NET

    Kuhusu Corona: WHO wanasema mask haisaidii kujikinga kwa wasio na maambukizi

    Kadri hatari ya Corona inavyozidi kuongezeka inatubidi kutafuta kila taarifa za kitaalamu kujua namna sahihi tunavyoweza kujikinga Binafsi kuanzia siku ya leo nimeshuhudia watu wameanza kutumia mask kuziba mdomo na pua, lakini katika hali ya kawaida nimetafakari sana kama kweli kufanya hivyo...
  13. Trubarg

    Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

    Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer. Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua stahiki za kuchukua ikiwemo kunawa mikono na kuepusha kushikana mikono na mikusanyiko isiyo ya lazima...
  14. Sky Eclat

    Muhammad El Wahad: What is behind Corona Virus is business and financial gains

    Januari USA waliongea biashara na China. China kawaida yao wana shusha thamani ya pesa ili wauze bidhaa zao kwa wingi nje ya nchi. Kwa mbinu hii USA na dunia nzima wanapoteza kibiashara mshindi ni China. Jambo lingine tena ukiwa unabiashara unataka kuifanyia China inabidi utoe technology ya...
  15. W

    Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

    Ndugu zangu, Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM. ''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha...
  16. Bishop Hiluka

    Coronavirus, Tanzania: Shule zote kuanzia za Awali, Msingi na Sekondari zafungwa. Mikusanyiko ikiwemo ya Kisiasa yasitishwa

    KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30 Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17, 2020 Amesema, Serikali itafanya marekebisho ya ratiba ya Kidato cha 6, wanaotarajiwa kufanya...
  17. Dr Akili

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  18. Sky Eclat

    Yes indeed it’s Corona Extra

  19. FRANCIS DA DON

    Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

    Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate kwa mtu wa chini ya 50 years ni kama haipo kabisa, sasa huku kuchanganyikiwa na kupanic kunasababishwa...
Back
Top Bottom