Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
Tangu nchi ipate uhuru haijawahi kutokea hata siku 1 wanafunzi wa vyuoni/mashuleni,nk wakakutana nyumbani kwa pamoja kwa muda mrefu kama huu tuliotangaziwa na Waziri Majaliwa, ilikuwa ni mpishano primary wakiwa likizo chuo wapo masomono, wanachuo wakiwa likizo primary wanaenda tuition, yaani ni kupishaana tu hapo mlangoni.
ila tangu Corona ije na tutangaziwe kurudi nyumbani,si wana primary wala kaka mavyuoni wote tupo nyumbani, chance adimu saana hii kuwahi tokea katika familia yeetu kutokana na baba na mama zetu kuwa walimu hivyo ilipelekea hata kama watoto tutakua nyumbani lakini wazazi iliwabidi waende mashuleni na vyuoni kufundisha,ila sasa hivi wote tupo nyumbani na hapa tulipo ni kucheza kama watoto baba mama watoto wote tupo sebleni tunacheza hide n seek (kombolela)
Sijui niombe Corona iendelee au niombe iiishe, hii nafasi tena kwa wale wenye mnaona mbali tutakujaga ipata lini tena baada ya Corona kuondoka?