corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wafanyabiashara wa Uganda waivimbia Corona

    Wakati hatari ya kuzidi kusambaa kwa virusi vya Corona ikiongezeka nchini China, wafanyabiashara zaidi ya 200 wa Uganda wamefika katika ubalozi wa China jijini Kampala wakibembeleza kupewa VISA ili waende nchini humo kuendeleza biashara zao. Hayo yamebainishwa na Waziri anayeshughulikia masuala...
  2. goldcall

    JamiiForums Tanzania Dhana: Virusi vya Corona ni gonjwa la kutengeneza na atakayeumia zaidi ni mtu mweusi

    Kichwa chahusika, huu ni utafiti wangu, japo kuwa kuna mtu atasema umetoa wapi chanzo cha taarifa, sasa hata uko unakotaka kuamini ni watu kama mimi tu, na ikiwezekana nimewazidi baadhi ya mambo. Unajua, Afrika, tunashida sana, JF, story nyingi ni migegedo tu, lakini amini amini nakwambia, huyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Janga la Corona lituamshe Tz kuwekeza ktk Tafiti za Tiba.

    Nimefuatilia changamoto inayoikumba China katika kukabiliana na virus vya Corona nikajiuliza hivi hii ingetokea hapa kwetu ingekuwaje. Ninavyoamini China ni kati ya nchi iliyoendelea sana katika nyanja nyingi ikiwa ni pamoja na sayansi ya Tiba. China ilishakumbwa na virus vya SARS Miaka ya nyuma...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona hapa nchini

    Pitia hii ni muhimu. USSR Sent using Jamii Forums mobile app
  5. hayaland

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani amepandikiza virusi vya Corona ili kuishusha China kiuchumi?

    Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake. Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kwanza kutokana na virusi vya corona Ufilipino

    Ufilipino imeripoti kifo cha mtu mmoja kutokana na virusi vya corona, cha kwanza kilichokwisha thibitishwa kutokana na ugonjwa huo nje ya China.Takriban watu wawili walioondolewa na Ujerumani wameambukizwa virusi hivyo. Mchina mmoja mwenye umri wa miaka 44 alifariki nchini Ufilipino leo...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wilbur Ross asema virusi vya Corona vitawapatia ajira Wamarekani wengi

    Katibu wa maswala ya kibiashara nchini Marekani Wilbur Ross amesema kwamba mlipuko mbaya wa virusi vya Corona nchini China unaweza kuinua uchumi wa Marekani. Wakati wa mahojiano katika runinga bwana Ross alisema: Nadhani vitasaidia kurudisha ajira kaskazini mwa Marekani. Kuenea kwa kasi kwa...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shirika la afya la ulimwenguni (WHO) kujadiliana iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vya Corona kuwa janga la Dunia

    Shirika la afya la ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vyaCorona kama dharura ya afya duniani. Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yathibitisha mgonjwa wa kwanza wa Corona. Dawa za UKIMWI kuanza kutumika kwa wagonjwa wa Corona

    Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume anayetokea eneo la Stanberg, katika jimbo la Bavaria, kiasi kilomita 30 kusini magharibi mwa Munich...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho za kusambaa Kwa kirusi cha Corona nchini China

    Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit. In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho. Back to my point: Kuenea Kwa kirusi cha Corona nchini China ni adhabu kutoka Kwa...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania China: Mji wa Wuhan kulikoanzia virusi vya Corona kujenga Hospitali kwa siku 6 kusaidia katika kutibu Ugonjwa huo

    Mji wa Wuhan unaharakisha kujenga Hospitali mpya kusaidia kutibu Wagonjwa waliokumbwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu 80 na zaidi ya 870 wameambukizwa nchini humo Kusambaa kwa virus hivyo kulianzia kwenye Mji huo ambapo sasa Madaktari wanasema Waathirika wanapanga foleni kwa muda...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maambukizi ya Kirusi Corona yapanda kwa kasi duniani

    Kasi ya maambukizo ya kirusi corona inaongezeka na kuna uwezekano idadi ya wagonjwa ikaongezeka pia, Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China imesema Jumapili. Wakati huohuo watu zaidi ya 2,000 wameambukizwa duniani na 56 wamekufa kutokana na ugonjwa huo. Kirusi hiki, kinaaminika kuwa kilianza...
Back
Top Bottom