corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
  2. Nyani Ngabu

    GE2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

    Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona. Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo. Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na...
  3. Sky Eclat

    Corona ilimalizika kisiasa Tanzania na inaweza kurudi kisiasa

    Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka mitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani. Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock...
  4. E

    Pamoja na siasa zetu tujue Corona ipo

    Mungu ametunusuru na hili gonjwa la ajabu, sio tu korona kipindupindu surua tetekuwanga kaswende na mafua navyo vimetokomea. Sasa hivi ni adimu kumwona hata mtoto anamafua, ukipiga chafya watu wanaweza pitia madirishani kukukimbia. Sasa hawa jamaa zetu wasaka kura sijui udhamini hawana...
  5. Replica

    Dodoma: Baraza kuu la TAG lamtunuku Rais Magufuli tuzo kwa namna alivyoongoza Taifa kukabiliana na Korona

    Punde Rais Magufuli atakuwa hapa Miyuji mjini Dodoma na kunatarajiwa kuwa na mazungumzo baina yake na baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini. Nini kutaenda kuzunguzwa? Kaa nami nitakujuza. ======= 10:20 AM: Kwa...
  6. J

    Umati mikutano ya wadhamini wa Tundu Lissu inaitangaza Tanzania kimataifa, watalii njooni Tanzania hakuna corona

    Tangu aanze kuzunguka kutafuta wadhamini Tundu Lissu amekuwa akipokewa na umati mkubwa sana wa watu tena hawajavaa hata mabarakoa. Vyombo vya habari vya nje mnaofuatilia harakati za Tundu Lissu kusaka Urais wasiishie tu kutaka kumhoji Lissu bali pia watende haki kwa kuutangazia ulimwengu kwamba...
  7. Analogia Malenga

    Idadi ya maambukizi ya Corona Afrika yapita milioni moja

    Idadi ya maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika imezidi milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za chuo kikuu cha Johns Hopkins, lakini bara hilo linaonekana kuwa na mlipuko mkubwa zaidi. Nusu ya maambukizi yanatoka katika nchi moja tu, Afrika Kusini. Kuna kiwango kidogo cha upimaji katika...
  8. luangalila

    Wakazi wa Nairobi wanatumia malimao kujikinga na Corona

    Pamoja na baadhi ya Wakenya kuwadhihaki majirani zao Tanzania kwa kutumia njia asili za kujikinga na corona mfano matumizi ya malimao, kujifukiza, sasa taarifa ikufikie wakazi wa Nairobi wameanza kutumia njia asili kujikinga na Covid hivyo kupelekea tunda la LIMAO (LEMON) kuadimika na kupanda...
  9. Analogia Malenga

    Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

    Mkurugenzi wa kituo cha kudhibiti magonjwa Barani Afrika ameelezea wasiwasi wake kuhusu namna Tanzania inavyokabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona. Dkt. John Nkengasong aliiambia BBC hakuwa na data za kutosha za kufahamu hali ilivyo nchini Tanzania. Alisema kituo cha kudhibiti magonjwa...
  10. PAZIA 3

    Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  11. M

    Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona. Sasa iambie dunia kuwa Tanzania sasa ni salama

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  12. M

    Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  13. MK254

    BBC: Uganda yaweka wanajeshi mpakani na Tanzania baada ya watu kutokea Tanzania kugunduliwa na Corona

    Uganda imeamua kutumia wanajeshi kuzuia muingiliano na Watanzania mpakani, maana watu wanaotokea Tanzania kila wakipimwa wanakutwa na kirusi, kwa sasa hamna cha undugu tena mpakani. Kule Tanzania walishaambiwa corona imejifia kisa kiongozi kasema. === Uganda is clamping down on informal cross...
  14. S

    Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  15. kavulata

    Kenya inakosea kuhusu Corona ya Tanzania

    Watanzania pia Ni binadamu wanaoogopa kufa. Isingewezekana mtu aache kujifungia (lockdown), kunawa mikono, kujisanitize, kuvaa barakoa na kukaa mbali Kama jirani zake, wafanyakazi wenzake, wanachezaji wenzake, wafanyabiashara wenzake, wanafunzi wenzake na ndugu na jamaa zake wangekuwa wanakufa...
  16. Miss Zomboko

    Virusi vya corona: Watu 10 Nchini India wamekufa kwa kunywa vitakasa mikono baada ya uuzaji pombe kupigwa marufuku

    Watu 10 wamekufa kwa kunywa kitakasa mikono kilichochanganywa kwa pombe baada ya uuzaji pombe kupigwa marafuku katika kijiji kilichopo jimbo la Andhra Pradesh nchini India. Kijiji cha Kurichedu kimewekewa hatua ya kutotoka nje kama njia moja ya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Virusi...
  17. Mocumentary

    Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Serikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini "Wakimwaga ugali tunamwaga mboga" "Magufuli baba lao"
  18. Roving Journalist

    Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

    Salaam Wakuu, 0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele. Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi...
  19. Cannabis

    Abiria kutoka Tanzania watahitaji kupimwa maambukizi ya virusi vya Corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)

    UAE wametaja orodha ya nchi zitakazotakiwa kutoa ushahidi wa kutokuwa na maambukizi ya virusi vya corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia nchini humo kuanzia August moja. Tanzania pekee ndio imetajwa miongoni mwa nchi hizo katika ukanda wa Afrika Mashariki ambapo abiria kutoka nchi hiyo...
  20. M

    Kama Taifa tunafanya makosa makubwa kujiaminisha kuwa Corona siyo tishio tena kwetu kama Nchi

    Nimemsikiliza mheshimiwa Rais Magufuli siku hizi za karibuni, linapokuja suala la COVID-19 akizungumza anatuma meseji kwa umma kuwa hili suala tumeshalidhibiti na siyo tatizo tena kwetu. Jitihada za waziri wa afya na waziri mkuu kuhusu kuuelimisha umma kuhusu hali halisi ya ugonjwa wa corona...
Back
Top Bottom