corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. palahingwe

    Wazo langu! Ingependeza kama zoezi la Sensa lingeambatana na upimwaji wa Virusi vya Corona

    Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
  2. Miss Zomboko

    Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  3. Chakaza

    Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
  4. B

    Kama vile Tanzania, Uganda nayo inaelekea kuishinda Corona

    Ama kweli mchele ni mmoja mengine ni mambo ya mapishi tu. Kama ilivyokuwa kwetu, mganda naye anaelekea tuliko fika: yaani a Corona free country: COVID-19: Victory in Uganda as the Country Records Low Cases in 24 Hours, Zero Deaths - Opera News Official Mchele mmoja mapishi mengi! Ajabu ni...
  5. K

    Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

    Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa...
  6. J

    Shura ya maimamu yakana kutoa waraka wa uchaguzi, yampongeza Rais Magufuli kwa kuitokomeza Corona

    Amiri mkuu wa Shura ya maimamu Shehe Kundecha amekana Taasisi anayoiongoza kutoa waraka wowote unaohusu uchaguzi. Kundecha amesema yeye kama kiongozi mkuu wa waislamu hana taarifa yoyote juu ya waraka unaosambazwa mitandaoni na kwamba waraka huo ni feki. Shehe Kundecha amempongeza Rais...
  7. chiembe

    Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

    Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam? Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani...
  8. K

    Kama Corona imeisha magari yaruhusiwe kusimamisha abiria, hasa Dar es Salaam

    Amani iwe kwenu wakuu! Kwa heshima na taadhima nimpongeze mheshimiwa Rais wetu kwa utekelezaji wa shughuli zake za kila siku vyema. Lakini pia nimpongeze kwa maamuzi yaliyokuwa magumu na ambayo wengi hatukukubaliana nayo kwanza ya kuruhusu watu waendelee na shughuli zao katikati ya janga la...
  9. MK254

    Biashara ya matunda kutoka Kenya kwenda Ulaya yazidi kunoga kwenye kipindi cha Corona

    Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu" ====== Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months By GERALD ANDAE Earnings from...
  10. Analogia Malenga

    Virusi vya Corona: Dawa za kuokoa maisha ya wagonjwa wa Covid-19 zauzwa kwa magendo India

    Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa aina mbili za dawa ambazo zilitumika kutibu wagonjwa wa corona nchini India - remdesivir na tocilizumab - zimekuwa zikiuzwa katika soko la magendo kwa bei ya juu ndio maana kuna upungufu mkubwa sana wa dawa hizo.Mwandishi wa BBC, Pandey anaripoti kutoka mji mkuu wa...
  11. Influenza

    Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro atangaza kupata Corona

    Kupitia chaneli ya Taifa, Rais Jair Bolsonaro (65) ametangaza kupata maambukizi ya #CoronaVirus baada ya kufanyiwa vipimo kwa mara ya nne siku ya Jumatatu kufuatia kuonesha dalili za ugonjwa huo Bolsonaro amekuwa mara kwa mara akipuuza ugonjwa huo huku akiuita ni mafua madogo ya kawaida na...
  12. Analogia Malenga

    Virusi vya Corona: Kuna hofu ya kuongezeka kwa magonjwa kutoka kwa wanyama hadi kwa wanadamu

    Magonjwa yanayotoka kwa wanyama na kuhamia kwa wanadamu yameongezeka na yataendelea kuongezeka iwapo wanyama pori hawatalindwa mbali na kuhifadhi mazingira, Wataalam wa Umoja wa Mataifa wameonya. Magonjwa yanayotoka kwa wanyama hadi kwa binadamu ambayo hupuuzwa huuwa watu milioni mbili kila...
  13. Analogia Malenga

    Malawi: Kiapo cha Rais kuhudhuriwa na watu 100 kutokana na Corona kuongezeka kwa kasi

    Rais Mteule wa Malawi, Lazarus Chakwera angeweza kuahirisha sherehe za kuapishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19 Awali Rais Chakwera alipanga kuapa katika uwanja wa mpira uliopo Lilongwe ambao ungehudhuriwa na watu 40,000 Badala yake ataapa katika Ofisi za Jeshi na sherehe...
  14. Chizi Maarifa

    Hili ni Somo kubwa nililojifunza kuhusu Corona. Litatusaidia kwa magonjwa mengine pia

    Corona ni pepo/jini tu linataka kutambulika na kuabudiwa. Linapenda sifa. Ukilidharau lina mind sana na kuona halina tena nafasi liliyotaka. Kipindi kile Corona tumeanza kuiabudu na kuiogopa ilitaka kuanza kutikisa.kumbe dawa yake ni ndogo sana ...kuidharau tu na kuendelea na maisha mengine...
  15. Influenza

    Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

    Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa Taarifa kutoka Ikulu imesema “Mkoa wa Analamanga, ambapo Mji Mkuu unapatikana, unarudishwa kwenye...
  16. Infantry Soldier

    TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
  17. Yoyo Zhou

    Virusi vya Corona viwe somo kwa aina mpya ya virusi vya homa ya mafua ya nguruwe viliyogunduliwa China

    Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine, mana kama si ndugu yako kuugua ugonjwa huu basi ni rafiki au jirani yako. Lakini nchi na mtu mmoja...
  18. Miss Zomboko

    Kenya yapunguza viingilio vya utalii ili kufufua sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na Corona

    Kenya jana imetangaza kupunguza ada za kuingia mbuga kuu za wanyama pori kwa watalii kutoka ndani na nje ya nchi hiyo ili kuhimiza sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na janga la COVID-19. Taarifa iliyotolewa na Shirika la huduma za Wanyamapori nchini Kenya (KWS) limesema hatua hiyo itadumu kwa...
  19. B

    Tathmini: Yanayojiri EA katika vita dhidi ya Corona

    Corona ni ugonjwa hatari unaouwa na pia kuambukiza kwa haraka sana. Study nyingi kuhusu huu ugonjwa zimetupa ufahamu wa kujua unaambukizwa vipi na kwa kiasi kikubwa kufahamu namna ya kuweza kuudhibiti. Pana mataifa yaliyofanikiwa kabisa kuutokomeza kabisa makwao kiasi cha kuuweka msingi wa...
Back
Top Bottom