Kenya: How Corona Billions were "eaten" by corrupt cartels

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Wakuu,

Mara nyingi tu nimesema humu kwamba nchi ikitaka kupigana na corona, kwanza ipigane na ufisadi. Wengi wanashangaa kwanini Tanzania corona ni historia, kumbe wao hawafahamu kwamba ufisadi pia ni historia.

Lakushangaza ni kwamba, Zile barokoa zilizo peanwa bure na "Jack Ma" kwa wakenya zote ziliuzwa kwa bei ya chee tanzania! -Eti Mifisadi ipate mpunga ilihali madaktari na wauguzi wakenya wakae bila masks!

=====

 
Hujui viongozi wa serikali ya Kenya ni mafisadi wakubwa. Pamoja na Demokrasia na katiba nzuri Kenya iliyonayo bado mnachagua viongozi wabovu kama Gavana Joho, Sonko, Waiguru etc wakati Kenya Ina wasomi wazuri na sio corrupt.
 
Bado ninatafuta kujua ni jambo gani Kenya imefaidika kutokana na katiba mpya lakini sijalipata.

Hili ni fundisho kubwa kwa nchi zingine Africa ikiwemo Tanzania kwamba, mabadiliko huanzishwa na binadamu sio makaratasi(Katiba), kama hakuna juhudi zozote za kuwabadilisha watu, hata vitabu vya Mungu haviwezi kusaidia.

Wakenya ni watu wa ajabu Sana, nothing can change them. "Nyerere cursed Kenya by called them man eat man society"
 
tumeliwa mazeee dahhh.. inaumaaaa jamanii, kenyataa nyambaf nyambaf ww!
FB_IMG_1597296958047.jpg
 
Hujui viongozi wa serikali ya Kenya ni mafisadi wakubwa. Pamoja na Demokrasia na katiba nzuri Kenya iliyonayo bado mnachagua viongozi wabovu kama Gavana Joho, Sonko, Waiguru etc wakati Kenya Ina wasomi wazuri na sio corrupt.
Hakuna cha katiba bora, yote hiyo ni takataka 🚮🚮🚮

Katiba imewasaidiaje? Mbona kila siku ufisadi ndio unazidi?
 
Niliwahi kuwaza siku moja jambo hili kwa nini hawa jamaa wamekazana na upimaji mpaka leo, nikapata jibu ni lazima kuna watu ambao wananufaika sana hilo jambo na hawako tayari kuacha mpaka mifuko yao itakapokuwa imetosha.

Mfano; upimaji wa corona ni gharama sana. Zile kit za kupimia mtu mmoja tu kwa Tshs inafika 120,000/= Tanzania walipima wachache tu wakachoka. Huko Kenya ujue lazima kuna watu wanapiga sana kwenye huo upimaji ndio maana hawataki kuacha.
 
Halafu anatokea mtu anaanzisha mada kuwa eti ma whites wanachukia mablacks kwa sababu tunakitu ambacho whites hawana.... Labda Corruption na kuuza roho za wenzetu ndio wao hawana.
 
Back
Top Bottom