Hii issue binafsi nilikua nimeielewa visivyo, muda wote nilijua kwamba Watanzania wanagoma tusiwe tunawapima wakija huku, na ili kushinikiza waingie watakavyo bila kupimwa wakazuia ndege zetu, ila kuna hizi taarifa nimezisoma kumbe tulikua tunawaweka karantini ya siku 14, akija anatiwa lockup...
Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu...
Mataifa ya Ulaya na Magharibi kwa ujumla hawataziachia nchi walizowahi kuzitawala na wana vyambo vingi vya kuendelea kuwanasa. Kila janga linalotokea hutoa fedha nyingi kujaribu kuonesha kuguswa na huruma zao.
Kwa hili huwa wanawanasa marais wa kiafrika kwa urahisi kabisa. Na jambo la...
Baada ya miezi 6 ya kukaa majumbani, wanafunzi nchini Sudan Kusini wanarejea darasani kuanzia Jumatatu, Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema.
Hatua hiyo ya Sudan Kusini inafuatia uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuondoa katazo lililowekwa mwezi Machi na Rais Salva Kiir la kufunga shughuli zote za...
Baada ya zaidi ya nusu mwaka ya mchaka mchaka wa virusi vya corona wanasayansi wamekuwa hawana jibu moja kuhusiana na ugonjwa huo na kila njia wanayoelekea inawapeleka upande tofauti na walikotaraji kufika,Mojawapo ni kwamba zile nchi zilizopuuza masharti ya kujikinga na corona na kuamua...
Wataalamu wa magonjwa ya kuambikiza Duniani kwa umoja wao wakiri kutofahamu kwa nini nchi za Kiafrika hazijaathirika kwa kiwango sawa na nchi nyengine Duniani.
Wataalamu hao wamesema , “ Hali ya ugonjwa wa Corona katika nchi za Afrika hata wao zinawashangaza”. Wengi wamekiri kuwa wakati ugonjwa...
Chuo Kukuu cha Namibia kitengo cha sayansi ya mifugo kinawafundisha mbwa kubaini virusi vya corona kwa kunusa.
Mpango wa nchi hiyo ni kuwapelea mbwa hao katika viwanja vya ndege na vituo vya mpakani, kwa mujibu wa mtandao wa The Namibian.
Mbwa wamethibitishwa kuwa na uwezo wa kubaini virusi...
Blessed is thyloard our CREATOR
Tanzania has so long be in a glorified fight against barbarism and planned colonialism. We have eversince survived the actions of non mercy bandits of humanity our fathers and grandies bitten and strangled to death with the same blood pretending to love us now...
Ukisikia mara Marekani watu wengi wamekufa kwa Corona. Lakini video na picha za hivi karibuni tunaona watu hawavai barakoa na wala hakuna cha social distance. Kwenye mikutano yao ya vyama wanakusanyika kama kawaida na wala hakuna cha measures.
Huyu Corona haeleweki kama kweli sifa wanazompa...
Hii imetokana na jitihada za Kenya kutojichokea kwenye vita dhidi ya corona na imekua ikifuata miongozo na kanuni zote za kupambana na janga hili ambalo limeikumba dunia. Imetoa ushirikiano wote wa Kisayansi, Kijamii na hata Kiuchumi.
======
Kenya Becomes First Country Awarded Safer Tourism...
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA) imetoa idhini ya dharura ya matumizi ya maji maji ya damu kuwatibu wagonjwa wa corona.
Mfumo huo wa tiba unatumia maji hayo kutoka kwa watu waliopona ugonjwa huo, na tayari umewatibu watu zaidi ya 70,000 nchini Marekani.
Raid Donald Trump...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa anamatumaini janga la corona litakomeshwa ndani ya miaka miwili
Akizungumza mjini Geneva, Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema homa ya Spanish flu ya mwaka 1918 ilichukua miaka miwili kudhibitiwa.
Lakini ameongeza kuwa kuimarika kwa teknolojia ya...
Inasikitisha sana katika kipindi hiki kigumu cha uchumi duniani kila mmoja amepanga kumminya mwenzake bila uhakika wala faida ya kinachofanyika.
Mwanzoni niliona tangazo la wizara ya afya lililohimiza wasafiri kuhakikisha kuwa wanapata cheti cha usafi wa corona kabla kuondoka nchini na...
Wanajamvi,
Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa!
Amejibu maombi kwa...
Wajenzi hawajaruhusiwa kuziona familia zao tangu mwezi MachiImage caption: Wajenzi hawajaruhusiwa kuziona familia zao tangu mwezi Machi
Kampuni ya Kichina inayotengeneza kiwandacha saruji katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo imewafungia wafanyakazi wapatao 60, raia wa nchi hiyo katika eneo la...
The Russian corona vaccine was not approved, but only registered, claims the broadcaster “RT Deutsch”. German media reported incorrectly here. The reality is different
The outcry in the German mainstream was great, according to the Russian state broadcaster “RT Deutsch”. The ARD wrote...
Wanafunzi wa kike zaidi ya 20 wa shule za msingi na sekondari wilayani Longido mkoani Arusha, wamepewa ujauzito na wengine kuolewa wakati wa kipindi cha likizo kutokana na ugonjwa wa corona, baada ya shule kufungwa
Kutokana na hali hiyo, Serikali imesema itawachukua hatua za kisheria baadhi ya...
Wakuu,
Mara nyingi tu nimesema humu kwamba nchi ikitaka kupigana na corona, kwanza ipigane na ufisadi. Wengi wanashangaa kwanini Tanzania corona ni historia, kumbe wao hawafahamu kwamba ufisadi pia ni historia.
Lakushangaza ni kwamba, Zile barokoa zilizo peanwa bure na "Jack Ma" kwa wakenya...
Idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 Afrika imeendelea kuwa chini huku idadi kubwa ya waathirika wamerudi kwenye hali ya kawaida pamoja na maangalizo mengi ya awali kutoka kwa wanataaluma wabobezi kwamba virusi hivyo vingeubomoa mfumo dhaifu wa afya barani Afrika na kuua watu kwa mamilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.