Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Waziri wa Afya wa Zambia Chitalu Chilufya amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika bunge la nchi hiyo, wabunge 15 wamekutwa na maambukizi.
Amri ya upimaji huo ilitolewa baada ya wabunge wawili kufariki dunia juma lililopita. Mmoja miongoni mwa hao aliugua ugonjwa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Afrika Kusini wamezifunga tena shule zote kwa mwezi mmoja wanapoendelea kupambana na ugonjwa huu.
Mapambano ni pamoja na tathmini ya wazi ya mirejesho pasipo na kujidanganya.
Korea kusini, China nk, nako wanapita katika hali kama hizo hizo.
Marekani ya Trump sasa...
It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world.
We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit.
Probably more people move from China to the US in a week...
Shirika la Habari la Sauti ya America yaani VOA limethibitisha kwamba Tanzania ni salama na hakuna ugonjwa wa homa ya Virusi vya Homa ya Mapafu vinavyosababishwa na Virusi vya Corona
======
Can Tanzania Really Be Coronavirus-Free?
DAR ES SALAAM, TANZANIA - Today I decided to do my own...
Sijui hawa watu wamepatwa na nini?
Wameweka lockdown
Wameweka curfew
Wameua waliokiuka
Wamefunga mipaka
Wamefunga anga
Wamefunga shule
Wamechukua mikopo
Wafanya Pima Pima Pima
Wamefunga miji
Wana quarantines
Wanavaa masks
Walisema Tanzania tutakufa kama kumbikumbi
Lakini bado kirusi...
Madagascar imeanza kuhaha kutafuta misaada toka Mashirika na Taasisi za Afya za Kimataifa kukabiliana na kuenea kwa kasi kwa wagonjwa wa Corona katika wiki za hivi karibuni.
ITV Tanzania
Kuna Watu walikuwa ' wanamshutumu ' mno Rais wa Marekani Trump alipotudharau na kutudihaki Waafrika wakati...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameruhusu waendesha boda boda na texi kuwabeba abiria kwa masharti kwamba lazima wavae barakoa kuzingatia muongozi wa kuzua maambukizi ya corona.
Rais pia alipunguza muda wa kafyu kwa saa mbili - sasa itaanza saa tatu usiku saa za Afrika Mashariki.
Katika hutuba...
Mkanganyiko wa elimu uliosababishwa na janga la COVID-19 unawazuia watoto kuanza kupata elimu yao wanayostahili ilisema taarifa ya UNICEF
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto-UNICEF lilisema Jumanne kwamba kufungwa kwa majengo ya elimu kutokana na janga la COVID-19...
Hello JF,
Ningependa kujua out of curiosity, nini kimeiondoa corona Tanzania? Je, Nyungu ilisaidia? Watu kuhimizwa kula tangawizi na malimao?
Na watu wakachukulia serious kula tangawizi na malimao. Hivyo miili yao ikajijenga ku-fight virus? Ama watu walichukulia serious kuosha mikono na kuvaa...
Taarifa ni kuwa mfumo wa Huduma za Afya nchini Madagascar umeelemewa na wagonjwa, hospitali zote zimejaa wagonjwa, hali ni mbaya.
Serikali imeomba msaada wa mashine zaidi ya 1,000 za kupumulia. Hospitali zinapokea wagonjwa mahututi pekee kwa sababu wagonjwa wakejaa.
Organic Covid imegonga...
Leo baada ya kuapisha viongozi mbalimbali Ikulu ya Chamwino Dodoma, Dr. Magufuli alitamka kuwa Corona imeshapotea na kuongeza kuwa "tuko salama". Kuna ukweli gani juu ya madai haya?
Swali langu ni je tunajuaje tuko salama wakati hatujui hali halisi na serikali haijatoa takwimu rasmi za...
Hivi karibuni Umoja wa Mataifa UN umetoa ripoti ya mwaka 2020 ambayo inaonesha hali ya chakula na lishe sio ya kuridhisha hata kidogo.
Ripoti hiyo ya hali ya usalama wa Chakula na Lishe iliyotolewa kwa pamoja na mashirika ya UN yakiwemo ya Chakula na Kilimo FAO na la Afya Duniani WHO, inaonesha...
Katika ule mukthadha wa kukubali kutokubaliana, ikumbukwe kuwa iliombwa watu kuweka orodha ya wahanga wote wa hizi changamoto za kupumua, kila inapowezekana.
Kuondoa tashwishi hapa ninaweka tarehe tulizopoteza wanasheria nguli hadi kufikia 09.07.2020 idadi yao mbele katika mabano (kama...
Toka mwanzo na mpaka sasa, msimamo wangu kuhusu hii Corona ni sawasawa na ule wa Rais Magufuli.
Si ajabu pia, kuwa, msimamo wangu waweza kuwa ni mkali zaidi kushinda hata huo wa Rais Magufuli.
Yaani, COVID-19 si hatari kama tulivyoaminishwa. Tumelishwa matango pori.
Jana nilimwona Bernard...
Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji.
TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa Shirandula" has died in Nairobi.
His brother-in-law Rowland Wanyama, told the Star that the actor...
Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
Vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona imepata pigo kubwa nchini Kenya baada ya serikali kufunga kimya kimya vituo 20 vilivyokuwa vikihusika na ukusanyaji wa sampuli kwa ajili ya vipimo vya maambukizi ya virusi vya corona.
Serikali imeamua kuhamisha nguvu zaidi katika kutibu na kuhudumia...
Kagame Cup ambayo inashirikisha mabingwa kutoka wanachama 12 wa Cecafa, ni moja ya shindano kongwe barani Afrika ambalo kwa muda mrefu limekuwa likidhaminiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Dar es Salaam. Baraza la Vyama Vya Mpira wa Miguu la Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limefuta...
Katika kuendelea kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Serikali ya Malawi imetangaza kuanza kwa siku tatu za kufunga na kumuomba Mungu awaepushe dhidi ya janga la virusi hivyo vinavyoendelea kuisumbua dunia.
Katika taarifa ya serikali, Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera ametangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.