Yaani hili ni ono kwa kila Mtanzania anaejitambua na kumtanguliza Mwenyezi Mungu, embu fikiria kama corona ingefunga na kupiga kambi Tanzania leo hii kusingekuwepo na hekaheka za uchaguzi na Magufuli na Chama chake wangekuwa wanaendelea kutesa.
Lakini usilolijua ni kama usiku wa kiza,hatukujua...
Natumaini wote wazima na kwa wale wa dar poleni na mafuriko.
Nilikuwa naomba kufahamishwa wapi wanapima Corona maana natarajia kusafiri nje ya nchi.
Pili je kipimo cha Corona bado ni kile kile cha kuchokonoana pua?
Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona.
Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
Rais Magufuli ameshiriki kwa njia ya mtandao maombi ya kitaifa yaliyofanyika nchini Kenya kuliombea taifa hilo Mungu aliepushie ugonjwa wa Corona.
Maombezi hayo yaliyofanyika Ikulu ya Kenya yalishirikisha viongozi wote wakuu wa nchi hiyo na Rais Magufuli alishiriki akiwa nchini Tanzania...
Idara ya uhamiaji mkoani Kagera inamshikilia mtu mmoja raia wa Pakstan aliyeingia nchini kinyume na taratibu akitokea nchini Uganda Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutangaza Tanzania ni salama na hakuna Corona.
Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa...
Wakuu binafsi mm sio tajiri ila nina ndoto za kuwa tajiri, hata hivyo namshukuru mungu maisha yanasonga japo napata ka hela kakubadilisha mboga Mwenyezi Mungu apewe sifa na utukufu.
Sasa hivi corona amekuwa mtetezi wangu mkuu, yaani hata mtu akiniomba hela na nikiwa sina na singizia corona...
Kauli ya Trump baada ya kurejea White House
Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kurejea ikulu ya Marekani, White House, hapo siku ya Jumatatu baada ya kulazwa katika hospitali ya kijeshi ya Walter Reeds nje kidogo ya Washington DC, akipokea matibabu kutokana na kupatikana na maambukizi ya...
Mungu Mbariki D.Trump!
Rais Trump wa Marekani amerejea Ikulu baada ya kutoka hospitali alipowekwa baada ya kukutwa na Virusi vya Corona
Amevua barakoa baada ya kufika ikulu
Mwanzo mpinzani wake Joe Biden alisema Donald alipata Virusi hivyo kwa kuwa kwenye kila mdahalo alikuwa havai barakoa
Rais wa Marekani ambae siku ya Alhamisi iliyopita aligundulika kuwa na virusi vya Corona na kukimbizwa hospitali ya hadhi ya nyota 5 ya Walter Reed Medical center mjini Maryland, ametangaza kuwa leo ataondoka hospitalini hapo baada ya kupona ama kupata nafuu.
Trump amewasihi wananchi wa...
Nipo Mascut nchini Oman. Nimeingia kwenye chumba cha mahakama asubuhi hii kusikiliza kesi ya mmoja wa wanafamilia. Kabla kesi yetu kutajwa nikasikia kesi mchanganyiko.
Iliyonivutia ni hii ya jamaa aliyeamua kupambana na hospitali ya serikali na daktari waliomtangazia kuambukizwa corona na kumpa...
Namibia imethibitisha visa 11,373 vya coronaImage caption: Namibia imethibitisha visa 11,373 vya corona. Zaidi ya wanafunzi 300 nchini Namibia wameambukizwa virusi vya corona baada ya shule kufunguliwa.
Wizara ya Afya imesema wanafunzi walioambukizwa wengi wao wanasoma shule za mabweni. Waziri...
Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona.
Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo
Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]
Siandiki waraka hapa.
Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa kuandamana hadi alipofikia.
Maelfu ya watu hawa yanaibua hisia kali juu ya kile kinachosemwa serikali hii...
Vita ya Corona dunia nzima inawasumbua kote kuliko na majeshi yenye nguvu na teknlojia ya hali ya juu na wenye huduma za afya bora duniani zenye madaktari bingwa wazuri duniani ikiwemo Ubelgiji wako hoi kusumbuliwa na Corona.
Nchi zenye elimu bora na waongea kiingereza kizuri ikiwemo kenya na...
Summary
Inclusion of a third party, Israel, in the negotiation agenda, has seen lobby groups in Nairobi warn that the agreement could be too risky to Kenya's interests.
The US indicates that the deal with Kenya should, with respect to commercial partnerships, discourage actions that prejudice...
Na Victor Yohana
(uvccmichenjezya@gmail.com)
Mapema mwaka huu tulitangaziwa kuwa Dunia imeingiwa na ugonjwa wa CORONA. Tanzania ilikuwa nchi moja wapo ambayo ilishukiwa kuwa kuna watu wana dalili za virusi vya CORONA alimaarufu COVID -19.
Wakati Dunia ikiendelea kutafuta tiba, Tanzania ilikuwa...
Watanzania najua baadhi yetu tunaweza ama tukawa hatujui 'Thamani' ya Rais Dkt. Magufuli au 'Umuhimu' wake Kwetu ila itoshe tu kusema kwamba pamoja na kwamba 'Kibinadamu' anaweza akawa na 'Mapungufu' yake kama niliyonayo Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ila kwa Tanzania 'Kumpata' Kiongozi kama...
Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 MachiImage caption: Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 Machi
Afrika Kusini, ambayo ilikuwa ni moja ya nchi zilizochukua hatua kali mapema zaidi duniani za kukabiliana na kusambaa ka virusi vya corona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.