Bunge limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) pamoja na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kwa vijana wanaoomba nafasi za ajira katika vyombo vya ulinzi na usalama.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
bunge
juni
kumaliza
lazima
maajabu
machi
mgao
mgao wa umeme
mgawo
miezi
miezi 3
mpaka
mwezi
nishati
serikali
spika
spika tulia
umeme
wakati
wizara ya nishati
Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika baadhi ya Taasisi za Serikali
Aidha, baadhi ya magari yaliyotelekezwa hayakuwa kwenye mipango ya...
Pamoja na mambo Mengine kwenye viwanja vya furahisha Mwanza Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amewaagiza wananchi kumpigia simu Spika huyo ili kumlazimisha awaondoe Bungeni wabunge 19 maarufu kama COVID 19 , ambao amedai wamewekwa bungeni humo kinyume cha sheria
Mnyika amedai kwamba ni vema...
Bunge la Tanzania limeazimia kuwa Serikali iangalie umuhimu wa kununua ndege nyingine mpya kwa ajili ya kuwahudumia viongozi wakuu wa kitaifa.
Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 13, 2024 na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Joseph Mhagama, ambaye ameeleza...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza pale dawa hizo zinapotumika bila utaratibu ikiwemo mvurugiko wa hedhi.
Dkt. Mollel amesema hayo leo Jijini Dodoma kwa...
Dodoma, Dodoma
Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
Matumizi ya akili bandia/mnemba tayari yameshaanza kutumika hapa nchini kwetu, tarehe 27 Januari yalifanyika majaribio ya mwalimu akiwa Kibaha akafundisha shule ya Dodoma na limefanyika jaribio lingine la daktari akiwa Dar es Salaam akafanya upasuaji Zanzibar na ukafanikiwa, je hatuoni sasa...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema jitihada kubwa zinafanyika ili kumaliza tatizo la uhaba wa sukari lililopo nchini.
"Ni kweli tuna upungufu wa sukari nchini na umetokana na kuwepo kwa mvua nyingi ambazo maeneo yetu ya mashamba ya miwa inayozalisha sukari maji yamejaa kiasi cha kwamba wale...
Wanakumbi.
Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel...
Mbunge wa Nyang’hwale, Hussein Amar ameihoji Serikali ina mpango gani wa haraka kuzuia utekaji unaoendelea katika Jiji la Dar es Salaam.
Miongoni mwa matukio matano ya watu kutekwa na kutoweka katika mazingira ya kutatanisha yalitokea mwaka 2023, limo la kutekwa mfanyabiashara Mussa Mziba (37)...
Bunge linaendelea Dodoma lakini vyombo vya habari vimeziba masikio kuhusu kinachoendelea.
Sometimes hata zile sekunde za taarifa ya habari hazigusi yanayojiri bungeni.
Je, bunge limeshuka thamani kiasi hiki? Kama mijadala ya bunge imefifia kiasi hiki na wabunge wamekimbia majimbo, nani...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema hadi kufikia Desemba mwaka jana, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ulikuwa unadaiwa jumla ya Sh6.37 trilioni na watu mbalimbali za fidia na malipo ya makandarasi na wahandisi washauri wa ndani na nje ya nchi.
Kwa mujibu wa kamati hiyo...
SENEGAL: Wabunge wa chama Tawala na wengine wanaounga mkono Serikali, wamepiga Kura na kupitisha ombi la Rais Macky Sall, la kuahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Februari 25, 2024 ambapo sasa umesogezwa mbele hadi Desemba 15, 2024 .
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wabunge wa upinzani...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 6, leo Januari 6, 2024.
https://www.youtube.com/live/SYTvPYLNpNk?si=ZxFlRBcsLo7LLqGU
Gharama ya kutibu wagonjwa wa sukari kwa mwaka ni TZS bilioni 300, na gharama za kutibu wagonjwa wote wa tezi dume ni TZS bilioni 46.42, hivyo...
Bunge letu ni fake na halitoi majibu
Serikali haiko serious kutatua matatizo ya wananchi. Katiba ni mfano! Wamebaki kisiasa kila kitu. Hakuna maridhiano ya maana yenye nia ya kuendeleza nchi badala yake ni kufikiria ndugu na marafiki zao tu.
Mahakama haitoi haki ipasavyo na imejaa siasa...
Na. WAF, Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Maswala ya UKIMWI imeipongeza menejimenti na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa kwa ubora wa Huduma na kuwatia moyo kwa kuendelea kuwahudumia wananchi .
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya...
Akifanya mahojiano na Edwin Odemba, Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Godbles Lema amejibu swali kuhusu kudaiwa Mkopo na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika Mahojiano hayo Lema amesema haogopi kukopa, hata kama wabunge wa-CCM wangekuwa...
Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi
Hawana maono mema kwa nchi
Hawana huruma kwa nchi.
Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa...
Nimemsikiliza Mwenyekiti ya kamati ya Bunge. Huyu ndugu alipewa majukumu mawili kwa wakati mmoja. Kusikiliza wananchi na kupeleka maoni yao bungeni au kusikiliza maoni ya wanakamati na kuyapeleka bungeni.
Kwa namna hali ilivyokwenda hata vyombo vya habari vimekosa cha kuwaambia wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.