Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amezuia mjadala wa sakata la bandari kuzungumzwa bungeni lakini akaruhusu kuwa litakapokuja kwa utaratibu mwingine wa kibunge itakuwa ruksa.
Spika Dk Tulia ametoa kauli hiyo leo Jumanne Agosti 29,2023 muda mfupi baada ya kipindi cha maswali na majibu ya wabunge...
Mkutano wa 12 wa Bunge unaoanza kesho unatarajia kujadili miswada miwili na maazimio matatu.
Ratiba ya Bunge iliyotolewa leo Agosti 28, 2023 inaeleza kuwa mkutano huo utafanyika kwa muda wa wiki mbili kuanzia kesho Agosti 29 hadi Septemna 8, 2023.
Kesho wabunge wataanza na kupokea taarifa ya...
STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe
Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo
Dodoma
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
Umofia kwenu.
Dibaji inasomeka.
Bunge na wabunge ambao kimsingi ni wawakilishi na sauti za wananchi wameonesha wazi kutowatetea tena wananchi na limeungana na serikali kuu kuitafuna nchi.
Kupitia Mkataba wa DPW tumeona wazi namna Bunge letu linavyojipendekeza kwa watawala badala ya kuisimamia...
Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni ya Worldcoin.
Hatua hiyo inafuatia Kamishna kuieleza Kamati ya Bunge ya Habari na Mawasiliano kuwa...
BUNGE
BUNGE ni uti wa mgongo wa demokrasia ya uongo iliyopo kwenye ulimwengu wa sasa. Bunge sio uwakilishi wa watu na mfumo wa mabunge sio suluhu katika matatizo ya demokrasia.
Bunge kwa asili liliundwa kuwakilisha watu lakini kitendo hiki chenyewe si cha kidemokrasia kwakuwa demokrasia maana...
Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu...
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
MBUNGE EMMANUEL CHEREHANI SIKU 645 BUNGENI NA MABADILIKO MAKUBWA JIMBO LA USHETU
"Tulipata Shilingi Milioni 470 kwaajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Elias Kwandikwa" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu
"Tulipata Shilingi Bilioni 2.08 kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan,
Pole na majukumu ya kuongoza nchi na pia hongera kwa kazi nzuri unayofanya kuifanya nchi yetu inakua kiuchumi na kuwa na amani.
Kwa sasa dunia ni kijiji, unaweza kufanya kazi na mtu yoyote aliyeoko nje ya nchi.
Tuna tatizo la ajira kwahiyo vijana wengi...
Kwa ufupi
Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
Utangulizi:
slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
Utangulizi:
slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
Mhe. Othman Masoud ameyasema hayo wakati akihutubia mamia ya wakazi wa Chakwani leo 30.07.2023.
Ametumia mkutano huo kuwaeleza wananchi hao ubaya wa Katiba pendekezwa almaarufu katiba ya Sitta na Chenge. Amesema wazanzibar waende wakadai Zanzibar yenye mamlaka kamili. Atayekaye waangusha...
Kuna sura tofauti imejitokeza Jimbo la Arusha Mjini. Mbunge wetu katokea Bungeni kwenye vikao, yuko Jimboni hataki kuongelea Mkataba wa DP world kabisa. Ila CCM Mkoa na Wilaya nao wamepiga kimya kuhusu mkataba huo.
Wabunge wamepatwa na kigugumizi gani? Mitandaoni Anaonekana Kinana na Wasira...
Dubai sio state na haina capacity ya kuingia mkataba wa aina yoyote.
Mahakama itatenda haki
Mafisadi wa CCM chini ya mwenyekiti wao wataaibika
Huyu Wasira na pumba zake za kumtusi Lissu ataona aibu
Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7
Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.