Imeelezwa na chombo hicho cha kutunga sheria kuwa fedha hizo zilichotwa katika biashara ya uendeshaji wa machinjio ya Dodoma katika kipindi cha miaka 11 iliyopita.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mahmoud Mgimwa, amesema wamebaini watendaji wa Narco na Wizara ya Mifugo na Uvuvi waliohudumu katika...
Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD...
Wabunge wa Bunge la Seneti nchini marekani wamelalamikiwa na wanahabari kwa kuvunja Kanuni Zinazosimamia Shauri la Kumwondoa Raisi madarakani (Impeachment Trial Rules) kwa kuingiza pipi na vitafunwa kwa siri kwenye Ukumbi wa Bunge.
Kwa mujibu wa kanuni hizo, vyakula na vinywaji vimekatazwa na...
Habari my comrades
Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
Kuna mbaba mmoja wa kirangi mtaani ni mtu mwenye hela zake, lakini anaishi na virusi vya ukimwi (mwathirika). Huyu mzee kwa sababu ana vijihela, basi amekuwa akiwarubuni watoto wa kike yani hachagui wanafunzi, Malaya, wake za watu, ndugu zake, mpaka mashoga wote pakia. Huyu jamaa alishawahi...
Baada ya wiki kadhaa, hatimaye Baraza la Wawakilishi linataraji kupiga kura leo Jumatano kupeleka mashtaka dhidi ya Donald Trump mbele ya Bunge la Seneti.
Hii ni hatua ya mwisho kabla ya kuanza kwa kesi ya ung'atuzi dhidi ya rais huyo kutoka chama cha Republican.
Spika wa Baraza la Wawakilishi...
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS
Chanzo:Twitter...
Bunge la Wawakilishi nchini Marekani limepitisha azimio linalolenga kumzuia Rais Donald Trump kupigana vita na Iran. Bunge hilo ambalo linafahamika pia kama Kongresi limepitisha azimio hilo kwa kura 224 dhidi ya 194.
Hata hivyo azimio hilo lililopitishwa na Kongresi ambayo ina wawakilishi...
Mpinzani wa rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, Juan Guaido, amechaguliwa tena Spika wa Bunge na wabunge wa upinzani saa chache baada ya mbunge mwingine wa upinzani, Luis Parra, kujitangaza kuwa spika wa bunge.
Juan Guaido amechaguliwa tena kuwa Spika wa Bunge la venezuela katika...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili.
Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi.
Mwezi Novemba, Waziri Mkuu alishitakiwa na mwanasheria mkuu kwa kutoa hongo...
Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa.
Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium.
Wanafiki wakubwa nyie msio na haya
Hizi ndizo...
Spika wa bunge la Sudan Kusini amejiuzulu baada ya kushutumiwa na wabunge wenzake kwa kushindwa hadi wakati huu kuwasilisha ripoti jumla ya ukaguzi wa mahesabu ya serikali.
Spika wa bunge la Sudan Kusini amejiuzulu baada ya wabunge kutishia kumuondowa madarakani kwa kuzuia juhudi za kupambana...
Kadiri siku zinavyokwenda, uzalendo wa baadhi ya watu kwa nchi yao unazidi kupungua tena bila sababu ya msingi. Baadhi ya watu wamefikia hatua kufurahia mali za serikali zinapozuiwa au kukamatwa nje ya nchi, wengine wanaona fahari kutetea mabeberu wanaonyonya mali za nchi. Haya ni baadhi ya...
Spika wa bunge mh. Ndugai amesema Bunge la 11 ambalo yeye ndio analiongoza limebakiza mikutano miwili tu yaani Februari na Aprili 2020 kabla halijavunjwa rasmi na Rais Magufuli.
Spika Ndugai alikuwa anaweka uelewa sawa kwa wananchi ili tuweze kwenda pamoja kama kuna jambo limesahaulika basi...
Katika kipindi ambacho huwa kinatoka Live, kila siku ya alhamisi ya kila wiki, ambapo wabunge hupata wasaa wa kiuliza maswali ya moja kwa moja kwa Mheshimiwa Waziri mkuu
Moja ya maswali yaliyoulizwa leo ni kutoka kwa Mbunge wa viti maalum wa Chadema, Devotha Minja, ambaye aliuliza kuhusu...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amesema kuwa hadi kufikia Ijumaa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litaipitisha Sheria inayotoa mamlaka kwa mtu kujipima UKIMWI.
Hayo ameyabainisha leo Novemba 11, 2019 wakati wa ufunguzi wa semina elekezi kwa...
Serikali imewataka watu ambao hawaridhiki na mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, bado wanayo fursa ya kufungua kesi kwenye Mahakama za Afrika Mashariki au kushtaki katika Bunge la Afrika Mashariki.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt Damas Ndumbaro leo...
Wabunge wote wa bunge la JMT leo wamegawiwa tabiti ( tablet) kwa ajili ya mawasiliano ndani ya bunge badala ya kuandika kwenye karatasi utaratibu ulioelezwa umepitwa na wakati.
Hivyo kuanzia leo uwasilishaji wa hoja au taarifa kupitia maandishi ya kwenye makaratasi hautatumika tena.
Spika...
Kuanzia leo vikao vya Bunge vitaendeshwa kidigitalii. Hii ni hatua kubwa ya kimaendeleo na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinatumika kununua makaratasi. Kwa wale ambao hawajazoea matumizi ya kidigitali msione aibu kujifunza. Kitu kipya lazima mtu ujifunze.
Mtu ukiwa unalima shamba huhitaji press. Vikao vya Kamati za Bunge na vikao vya Bunge ni vikao serious vya kikazi. Wananchi wanachohitaji kujua ni matokeo ya kile walichojadili sio zile porojo za sijui mbunge huyu akachekesha, huyu akatukana. Wananchi wanachohitaji ni final result za kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.