bunge

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa anawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2024/25

    https://www.youtube.com/watch?v=ezJ5n2FzdlY ZUNGU: MGAMBO WANAWANYANYASA MACHINGA NCHI NZIMA Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amesem Asilimia kubwa ya Mgambo wamekuwa wakinyanyasa Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) bila kujali wanafanya biashara katika mazingira halali, amesema hayo Bungeni, leo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Wananchi na Wabunge tembeleeni Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita. Naibu...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wiki ya Nishati imeanza leo Aprili 15 hadi Aprili 19 kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko anawakaribisha Wabunge na Wananchi katika Wiki ya Nishati itakayofanyika katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 15, Aprili 2024 hadi tarehe 19 Aprili 2024. Hii ni fursa kwa Wabunge na Wananchi kufahamu utekelezaji wa Sera ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Massare asema SGR imechukua maeneo ya Watu, Serikali itende haki, iache dhulma

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 6, leo Aprili 15, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=51y0PHIx7WU Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), za ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2022/2023 zimewasilishwa bungeni. Kukabidhi ripoti hizo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Serikali, Bunge, Ziheshimu Mahakama! Kwanini Serikali na Bunge Hazijatekeleza Hukumu ya Mahakama kuhusu Ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?

    Wanabodi Hii ni makala yangu ya Gazeti la Mwananchi Wiki hii Leo naendelea na hizi makala elimishi kuhusu katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba, alidhamiria nini. Wiki iliyopita nilizungumzia ukuu wa katiba na jinsi wakuu wa mihimili, ya serikali, Bunge na Mahakama marais wa awamu zilizopita...
  7. F

    JamiiForums Tanzania ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

    Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge. Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nani anahusika kuratibu na kugharamia wasanii wa DSM kuzunguka kutoa burudani kwenye mkesha wa Mwenge? Hizi fedha zinapitishwa na bunge?

    Wasanii wa muziki na vyombo vya habari vimefanya mkesha wa Mwenge kuwa kama FIESTA. Wakuu wa wilaya na Mkoa wanatoa wapi fedha za kuwalipa wasanii wakubwa kwenda kutoa burudani usiku kucha kwenye mkesha wa Mwenge? Je hizi fedha za kuwalipa zinatokana na bajeti inayopitishwa na bunge? Mbona...
  9. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Anaandika Yericko Nyerere Wengi mmeomba nitoe maoni yangu kuhusu kauli za mtu anayejiita Paulo Makonda kwamba kuna mawazi wanawalipa watu ili kumtuna Rais na kwamba mawaziri hao wana wawatu nyuma ambao ni watu wa kuheshimika katika nchi. Kabla sijazungumzia kauli hiyo naomba niwarejeshe...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vedastus Manyinyi: Wananchi hawataki kikokotoo cha sasa, kwanini Serikali inalazimisha?

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 5, leo Aprili 8, 2024 jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=RWUrwI58Nt4 Mbunge wa Musoma Mjini (CCM) Vedastus Manyinyi amesema Serikali inapaswa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu kikokotoo kwani wao wanataka wapatiwe...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itufafanulie "hatua za mwisho" maana yake nini badala ya kutufanya kama watoto wadogo wa kudanganywa kwa majibu ya rejareja

    Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha. Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?

    Wanabodi, Hii ni makala kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano. Kwa wasomaji wapya, naendelea na makala zangu elimishi, kutoa elimu ya katiba, sheria, haki na wajibu, ili kutoa darasa kwa Watanzania kuijua katiba yao ya JMT ya mwaka 1977, kwa jicho la Mtunga Katiba, kwa mimi kuvaa viatu vya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12: Serikali yasema Wakazi wa Dar watasambaziwa huduma ya mabomba ya gesi

    Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4 NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA NYUMBA 10,000 ZA DAR DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Spika wa Bunge ajiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa

    Update: Aliyekuwa Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula (67) amejisalimisha kwa Polisi ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani siku moja baada ya kujiuzulu Nafasi ya Uspika pamoja na Kiti cha Ubunge kutokana na tuhuma za ufisadi ......... Spika wa bunge la Afrika Kusini...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  16. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Bunge iongeze adhabu kwa walimu wanaobaka na kulawiti!

    Kumekuwa na wimbi la walimu kulawiti watoto na kubaka kitendo ambacho huwa kinaleta picha mbaya zaid kuliko hata wabakaji wa mtaani! Shuleni tunategemea malezi yawe yenye umakini. Na ya kimaadili! Shule iwe ya madrasa, sjui mafundisho makanisani, au shule za masomo ya elimu ya msingi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

    Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Mbowe pamoja na ya Bunge hakuna aliye mkweli

    Juzi mwenyekiti wa chadema Taifa freeman Mbowe alisema kwamba wabunge wamejiongezea mshahara kutoka M13 hadi M18 pasipo kuweka ushahidi wowote ule,Taarifa hiyo ilikanushwa na Bunge kwamba sio kweli kwamba wabunge wamejiongezea mishahara na taarifa hiyo ipuuzwe. Aliyetoa taarifa ya kukanusha...
  19. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Bunge lakanusha Kauli ya Mbowe kuwa Mshahara wa Wabunge umepanda kutoka Tsh Milioni 13 hadi 18

    Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni.. Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yatembelea ujenzi wa jengo jipya la DAWASA Yetu lililogharimu shilingi bilioni 48.9

    KAMATI YA BUNGE YAFANYA UKAGUZI JENGO LA DAWASA YETU Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji na Mitaji ya Umma imekagua na kufurahishwa na maendeleo ya Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Dar Es Salaam (DAWASA) katika eneo la Ubungo Maji Mkoani Dar es Salaam...
Back
Top Bottom