boy

A boy is a young male human. The term is usually used for a child or an adolescent. When a male human reaches adulthood, he is described as a man.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Diamond kapigwa chini kuwania tuzo ya GRAMMY, Davido, ASAKE, Burna Boy, Ayra Starr na Tyla watajwa

    Nominations za Grammy za mwaka 2024 zimetangazwa, na wasanii kama vile Drake, Ice Spice na SZA miongoni mwa wa wanaowania tuzo. Waandaaji (Recording Academy) imetaja orodha kamili ya wateule Novemba 10 kabla ya Tuzo za 66 za Grammy, zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Crypto.com huko Los Angeles...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Burna Boy agomea zaidi ya bilioni 12 kufanya show Dubai kisa kunyimwa kibali Cha kuvuta bangi. Huyu jamaa bila shaka ndiye aliyemuharibu ndugu yetu wa

    Katika hali iliyowaacha wengi mdomo wazi ni suala la African giant Burna boy kugoma kufanya show Dubai yenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 5 kisa tu kanyimwa kibali cha kuvuta bangi . Ukisikia bangi nibangue ndio hii sasa 🤣🤣🤣🤣🤣 Nikiangali ushikaji wa kimtindo uliopo kati yake...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Beach boy aeleza jinsi walivyokuwa wanaibua miili ya watu kwenye viroba

    Msikilize hapa akielezea kuhusu hilo akisema ni katika mambo ambayo hatokuja kusahau katika maisha yake yote. Akiulizwa ni tukio gani hatalisahau kamwe kwenye maisha yake Joseph Benard AKA Pongo Mnyama - Beach boy amesema; Kuna kipindi walikuwa wanaopoa maiti za watu kwenye viroba zilizokuwa...
  4. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
  5. Siri yangu

    JamiiForums Tanzania Utani wa home boy mwenzake

  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Naytrueboy, mwanamuziki aliyewahi kuwa maarufu na tajiri amefilisika baada ya kujiunga CHADEMA

    Watanzania tuna cha kujifunza, huwa tunasikia watu wanasema "Niko tayari kufa", "Niko tayari kufanya lolote". Mabadiliko ni process ambayo hutakiwi kuibeba peke yako, ni zao la jamii kwa ujumla na kwa pamoja, usije ukaumiza familia yako na kazi zako ukiamini wewe pekee utaweza. Kama jamii...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mwambieni “Kwevo” hivo vinjunga awaachie akina Konde Boy

    Kwa miguu hii kama minazi ya coco beach msanii wenu “Kwevo” anazingua sana kuvaa vipensi “vinjunga”. Kwaufupi anazingua.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote. Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Show ya Burna Boy( NYC) imejazwa na wanaija

    Kwa wale tulio bahatika kutembea tembea duniani tunajua wanaija wapo wengi sana kila mahali.. Jijini New York, kitongozi cha "the bronx" ni kama Lagos ndogo, wanaija wamejaa kibao.. hata ukisikia sauti za back ground wanao sing along na Burna Boy kwenye hiyo show yake unasikia lafudhi za...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burna Boy awa msanii wa kwanza kutoka Afrika kujaza Uwanja Marekani

    Mshindi huyo wa Tuzo ya Grammy amefanikiwa kuweka rekodi hiyo kwa kuuza Tiketi zote 41,000 za onesho lake katika Uwanja wa Citi Field ulioko jijini New York, Marekani . Show hiyo ilihudhuriwa pia na Mastaa wakubwa kutoka Marekani wakiwemo Busta Rhymes, SZA, Jorja Smith na rapa Santan Dave...
  11. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wa country boy (Fresh boys) Wana kuja kuja

    Kuna Hawa madogo wa country wizzy wanajiita fresh boys Wapeni sikio mtoe marks Wanakuja kuja
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli hatutaki kusema kuhusu Sure Boy

    ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy. Alipewa jina hilo kutokana na kazi yake njema uwanjani. Alikuwa na kasi kubwa uwanjani. Akipiga krosi na pasi...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania BETAwards2023: Burna Boy ashinda tuzo ya Best International Act ya BET, Busta Rhymes apewa ya LifeTime Achievement

    Nyota huyo kutoka Nigeria ameibuka mshindi na kuwabwaga mastaa wengine ambao Aya Nakamura, Ayra Starr, Central Cee, Ella Mai, K.O, L7nnon, Stormzy, Tiakola na DJ Uncle Waffles. Beyonce ameshinda 'Viewers Choice', Drake na 21 Savage (Kundi Bora), Future na Tems (Wimbo Bora wa Ushirikiano)...
  14. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Karata ya Mahusiano Ilivyomnufaisha Harmonize (Konde Boy) katika mziki wake

    Katika Ulimwengu wa Utandawazi wasanii wamebahatika kuwa na uwanja mpana sana wa kuzitangaza Kazi zao, na moja ya karata muhimu ni mahusiano. Hii hutumiwa na wengi sababu ya urahisi wake (haina gharama). Ukizingatia muziki, ndiyo kwanza matunda yameanza kuonekana hapa kwetu, tofauti na nchi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

    Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma. Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
  16. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi konde boy kile kiitikio cha "jeshiii" umepata kuelewa

    Msanii Konde boy Kila nyimbo lazima ajimwambafai na kiitikio cha "jeshii". Tukielekea pasaka nikaona niangalie filamu ya yesu iliyotafsiriwa kwa kiswahili. Kuna kipande Fulani yesu akiwa na wanafunzi wake kikimuonesha anamtoa mapepo chizi mmoja kuulizwa wewe ni nani ? Na yeye akasema kuwa ni...
  17. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, nini tunajifunza?

    Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi. Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
  18. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ametumia vigezo gani kumuacha Kampombe, Zimbwe, Mzize na Sure Boy na kuita kikosini wakalia benchi?

    Salaam, Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burna Boy, Rema na Tems kukiwasha NBA All-Star Game leo usiku

    Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi. Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa...
  20. Double line

    JamiiForums Tanzania Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

    Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume) Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
Back
Top Bottom