Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,347
4,807
Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote.

Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with my lv naona ni nzuri sana pamoja na nyimbo za Nigerian musicians wengine ni nzuri sana kuliko za huyu Burna boy
 
Style ya uimbaji wa burner kachukua vionjo halisi vya kiafrika, kutoka kwa kizazi cha akina fella kuti na yusufu ndou, sasa kwa mtoto wa juzi usiejua vionjo hivyo kamwe huwezi kumuelewa kabisa lakini ana aina yake pekee ndio inayombeba
Nimekuelewa, yaani ni kama ingekuwa Mrisho Mpoto imba yake ile iwe kwa lugha ya Kiingereza ange trend sana Duniani kuliko hata Diamond
 
Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote.

Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with my lv naona ni nzuri sana pamoja na nyimbo za Nigerian musicians wengine ni nzuri sana kuliko za huyu Burna boy
We ni Yanga au Simba!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom