Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela.....
Mtaji ni mdomo wako na how smart you are.
Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd.....
Hahaha sifungui hata ajira Portal.....
Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist.
Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣
Trash🚮🚮
......
......
Ningeshangaa, mbali na kutamkiwa wazi kuwa hatakiwi, leo kapata wapi ujasiri tena wa yeye kwenda kuchukua fomu?
Kumbe kuna mapinduzi ndani ya chama la mapinduzi?
Watajuwana wenyewe huko
Ikiwa mmesikia ya Bunda basi Wana KAWE tujiandae kisaikolojia ujio wa COVID Mstaafu ili aingie tena Bungeni Mshahara 18m/month+ pensheni 400m TZS.
Bye bye Baba Askofu Mkuu
Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana.
Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
Gwaji boy jasusi la mbinguni a.k.a mkono wa baunsa, ni mtu mwenye Kujiamini sana, ni mtu aliyepambana na makonda single handedly at the prime of his terror na akamkalisha.
Ni chuma kilichomdhibiti Dr. Slaa na mkewe Mshumbusi kwa tamaa zao za uraisi mpaka wakaishia kuwa machawa huko Canada na...
Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.
Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"......
Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini.
Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani
Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma zake juu ya P Diddy zilikuwa za kweli na wala hawahisi kama walimuonea
Wengine wamedai mtu akishakuwa...
Wale, jamaa ambao mlikuwa mnatafuta shamba boy .
Amepatikana tayari yupo anasubiria simu ili aende sehemu husika.
Ana umri 28
Hana familia
Elimu darasa la saba
Uzoefu wa kulima , kuangalia bustani , pamoja na mifugo anao wa kutosha
Waweza mpigia hapa
"0696999965"
Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.
Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza?
1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya?
2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.