boy

A boy is a young male human. The term is usually used for a child or an adolescent. When a male human reaches adulthood, he is described as a man.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Handsome boy wa CCM Wasira anajua kuhusu digital campaign

    Handsome boy Wasira hajui digital campaign ni nini? Anasubiri mtu wa kubishana naye ! Hajui kama Dunia imebadilika
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jengo la gorofa mbili la makazi kitako cha nguzo zake kinasukwa ukubwa gani?

    Wadau msaada Jengo la gorofa mbili la makazi kitako cha nguzo zake kinasukwa ukubwa gani?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mimi naitwa Son boy naombeni mnikaribishe kwa makofi matatU

    Jaman mimi naitwa Son boy naombeni mnikaribishe kwa makofi matatu pa pa pa asanteni sanaaaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    ...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"...... Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini. Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata alipokuwa jukwaani

    Wanaijeria waanza upya kurusha madongo kwa Burna Boy wakidhihaki muondoko wake tata akiwa jukwaani Wanaijeria wamedai kuwa muondoko wake akiwa stejini unafanana na wa G*Y huku wakidai shutuma zake juu ya P Diddy zilikuwa za kweli na wala hawahisi kama walimuonea Wengine wamedai mtu akishakuwa...
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday In advance kwa Baby Boy wetu

    Ni miaka zaidi ya 2,000 sasa tangia azaliwe! Happy Birth Day kwake in Advance
  7. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mnatafuta shamba boy sasa tayari amepatikana.

    Wale, jamaa ambao mlikuwa mnatafuta shamba boy . Amepatikana tayari yupo anasubiria simu ili aende sehemu husika. Ana umri 28 Hana familia Elimu darasa la saba Uzoefu wa kulima , kuangalia bustani , pamoja na mifugo anao wa kutosha Waweza mpigia hapa "0696999965"
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Leo ni Boyfriend Day

    Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume. Usiniulize gfriend day bado naitafyta kwenye kalenda ya 🇨🇺 na 🇷🇺
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je Diamond, Babu Tale na Burna Boy wanaweza kuitwa kutoa ushahidi kwenye kesi ya P Diddy?

    Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya? 2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tyla awaburuza Chris Brown, Burna Boy na Usher tuzo za MTV Video Music Awards 2024

    Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best Afrobeats katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) za mwaka 2024 na kuwabwaga...
  11. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Jamani ndiyo sipati hata kazi ya House Boy au gargeni?

    Habari za mida, jamani mwenye moyo wa msaada waeza okoa jahazi japo pate hata hela ya kula takushukuru pia. Umri: 22 Location: Mbezi- DSM Edc: Form6 Ujuzi: Cmputer Vipawa:sanaa contact:+255625544723 #Nishike mkono
  12. L

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: John Mrema ni moja ya watu wa hovyo ndani ya chadema, ni shamba boy wa mwamba

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Zamani wa Iringa Mjini. sina cha kuongeza wala siweki neno langu lolote lile zaidi ya kukuwekea Alichokiandika Mwenyewe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa...
  13. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Kutana na "Rocket Boy" dogo Mchina wa miaka 11 aliyetengeneza rocket. Wazazi jifunzeni kitu hapa.

    Yan Hongsen mwenye umri wa miaka 11 tu kutoka nchini China aliyepewa jina la utani "Rocket boy" amekuwa gumzo katika mitandao na vyombo vya habari duniani. Hii ni kufuatia kuweza kutengeneza na kurusha rocket yake ndogo ya kwanza huku followers wake wakitazama tukio hilo kupitia mtandao wa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ambavyo almanusura nigeuge yahoo boy

    Miaka zaidi ya 10 huko nilipohitimu chuo, nilikuwa nafahamiana na jamaa fulani muwest ambaye nilikuwa namuuziaga computer maana wakati nasoma chuo nilikuwa nanunua computer huko Kkoo na kuuza chuo na mtaani kwa order. Sasa nilipomaliza chuo jamaa tulikuwa tumezoeana alikuwa ana pesa si haba na...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Elias In The Dark

    Elias's world was a symphony of colors and textures, a whirlwind that overwhelmed his senses. The playground echoed with cacophony, the swings groaning, children's shrieks like nails on a chalkboard. His classmates were a blur of vibrant clothes and chaotic movements, their words tangled and...
  17. Neverregular

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Usafi, House Boy

    Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Current situation:Nani kamkalisha mwenzake kati ya lunya na country boy

    since nimesaini sony music sasa hivi mitaani nimekua ankwepekabo thing driving big cars big nyashi big chains na ndoto zmekua ankwepokabo dreams riski allhamdulilaih kila chuma kikitoka ni chamoto nakua tingi tapo tingi (..oh My!!..) ndo maana hizi nasty balls ziko nane ila ukisikia kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Handsome boy kuliko wote jamvin

    Mzuka wanajamvi! adriz Joannah Lamomy binti kiziwi EEX
  20. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Tyla Awabwaga Davido Na Burna Boy Kwenye Tuzo Za Grammy

    Unakumbuka Ile ngoma Water? 🎶Baby Sweat, Baby Water🎶 Sasa msanii ambaye ameimba ngoma hiyo yaani Tayla ameshinda tuzo Ya Grammy usiku huku akiwabwaga wasanii Wakubwa ikiwemo Davido na Burna Boy. Tayla ameshinda tuzo hiyo kubwa kupitia kipengele cha Best African Music Performance alichokuwa...
Back
Top Bottom