boy

A boy is a young male human. The term is usually used for a child or an adolescent. When a male human reaches adulthood, he is described as a man.

View More On Wikipedia.org
  1. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Burna Boy ashinda tuzo ya Msanii Bora Afrika MTV EMA's

    The African Giant, Burna Boy ametangazwa Msanii Bora Afrika katika Tuzo za Muziki za MTV Ulaya (MTV Europe Music Awards – EMA) kwa mwaka 2022, na kuongeza unyoya mpya kwenye kofia yake kubwa inayoendelea kupanuka. Burna Boy alikuwa akishindanishwa na Zuchu kutoka Tanzania, Tems (Nigeria), Musa...
  3. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Sio sahihi "house boy" kukufulia nguo za ndani

    Habari za wakati huu wana jukwaa, Wiki iliyopita nilienda kumsalimia kaka yangu, yeye anaishi na mfanyakazi wake wa kiume, mke yupo kikazi mkoa mwingine. Jambo lililonishangaza wakati nafua nguo zangu kujiandaa na safari nilihamaki kuona mfanyakazi wake wa kiume akimfulia nguo zake za ndani...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Abubakar Salum haumwi, ila amegoma hadi amaliziwe chake chote

    Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati. Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu vs Burna Boy waingia kwenye mchuano wa MTV awards

    Msanii wa kike namba moja Africa ya mashariki na Kati supastaa Zuchu leo amechaguliwa kushindania tuzo ya MTV Europe music awards. Ameingia kwenye kipengele cha best african act na mshindani wake mkubwa ni burna boi. Sasa bila kuchelewa ingia kumpigia kura mwakilishi pekee wa east africa...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

    Mahakama ya Wilaya Kinondoni Jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu P squre, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka binti wa miaka nane. Suleman, ambaye ni beach boy na mkazi wa Msasani wilaya ya Kinondoni, anadaiwa kumbaka binti huyo...
  7. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Omah Lay ameonesha uwezo mkubwa sana kwenye album yake mpya

    Binafsi kama mdau mkubwa wa sana ya muziki, hasahasa ule wa Afrika. Hizi siku mbili nimesikiliza album mpya ya msanii kutoka Nigeria, Omah Lay. Niseme tu, mimi kama shabiki mkubwa wa huyu msanii kinda sijaangushwa kabisa. Album yake inaitwa BOY ALONE na imetoka leo hii. Nilichofurahishwa sana...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tazama video: Kumbe Country Boy ndio mshamba namna hii?

    Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused. Country boy ana mnyanyasa mtoto wake. The " nigga wannabe guy" thinks Mikocheni B is the Bronx. Don't be surprised when this fool start to smoke some joint with the...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

    Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

    Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndio maana akamsaliji coz alikuwa anajua huyu ana kauwezo...
  12. Mhaya wa Arsenal

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji Errand Boy

    Habari wakuu, Mm ni kijana wa halali wa kitanzania, nipo dar natafuta kazi ya yoyote ya ERRAND kwa wale wasiokuwa na muda wa kufika sehemu husika na kuchukua mazaga, iwe bidhaa au kuchukua/kuletewa baadhi ya kitu/vitu. No 0676941519
  13. PAGAN

    JamiiForums Tanzania Swagga Konde Boy

  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tom boy ndani ya ghetto langu!

    Tarakimu hii "12",imenifanya niukumbuke mwezi wa kumi na mbili mwaka jana katika moja ya mtaa niliokuwa naishi nilikuwa na washkaji zangu kadhaa ambao tulipata kufahamiana katika jioni tulivu,wakati tunapiga stori simu yangu mfukoni ikavibrate kuashiria Kuna mtu ameni sms. Sikuifungua haraka...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
  16. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania When boy introducing his girlfrend to his boys

    Boy introducing his 95th girlfriend to his boys HIS BOYs: hatujui hata umempa nini broh wetu hatujawahi muona akiwa kwenye love like this Alafu Girl nae Anajibu: ' ni mapenzi tu' 😅😅😅
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Mama yangu anachukia sana ninapomwambia kuwa sitaoa kamwe

    BURNA BOY AKANUSHA NDOA: SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa. Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Check the photos of the "Bonetics" a Nigerian boy who can twist himself into different positions.

    Check Out Photos Of Bonetics, The Nigerian Boy Who Can Twist His Body Into Different Positions Source; Check Out Photos Of Bonetics, The Nigerian Boy Who Can Twist His Body Into Different Positions - Mc Ebisco...
  19. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Ali Landi, 15-year-old boy who rescued two women from fire, dies of severe burns

    Ali Landi, an Iranian teenager who became a national hero after rescuing two women from fire, has passed away due to severe burns. Earlier this month, Ali, a 15-year-old boy from Izeh city in Khuzestan Province, rushed to rescue two neighboring women trapped in a burning house. After the...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 12-year-old boy flees home after beating 19-year-old brother to death

    A 12-year-old Primary Three pupil has fled their home in Miraa Village, Masafu Sub-county, Busia District, after allegedly beating his 19-year-old brother to death following a disagreement over a home-made ball. The suspect, who is a juvenile, is said to have fatally punched Umar Nsubuga who...
Back
Top Bottom