Burna Boy agomea zaidi ya bilioni 12 kufanya show Dubai kisa kunyimwa kibali Cha kuvuta bangi. Huyu jamaa bila shaka ndiye aliyemuharibu ndugu yetu wa

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,434
21,122
Katika hali iliyowaacha wengi mdomo wazi ni suala la African giant Burna boy kugoma kufanya show Dubai yenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 5 kisa tu kanyimwa kibali cha kuvuta bangi .

Ukisikia bangi nibangue ndio hii sasa 🤣🤣🤣🤣🤣

Nikiangali ushikaji wa kimtindo uliopo kati yake na yule jamaa yetu wa chitoholi ,nina imani kubwa huyu alichangia kwa namna Moja au nyingine kumfanya jamaa naye awe mla ganja mpaka kuwa addicted kama alivyo yeye.

Jamaa hakuishia hapo katoa mpaka free style kuelezea hilo jambo kwamba eti hajutii kukosa hicho kiasi maana ni kidogo sana kwake.

Video hii hapa chini kwa ihsani ya Sammisago.
 
Madhara ya bangi ni madogo sana kulinganisha na madhara ya bwimbwi

Huu muda unamchamba mtu aliyekataa $ 5m ungejaribu kumuombea bwana ndege ya bilioni nne ajiepushe na ngada
 
duh siangevumilia tuu pesa ndefu hivyoo.

edsheeren alisemaga hajawai kukutana na mtu anavuta bangi kama burna boy.

ila aangalie baadae asije akaja kuijutia hii pesa. kuna kuchuja.
Km bangi ndio iliyompa mafanikio acha aendelee kuvuta, wasanii kibao Marekani wanavuta bangi na wana mafanikio ya kutosha, Rihanna mumewe ASAP anakula mmea means na Rihanna nae anakula mmea
 
Back
Top Bottom