Burna Boy, Rema na Tems kukiwasha NBA All-Star Game leo usiku

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
nba-all-star-weekend-performers.jpg

Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limesema baada ya Show hiyo yenye mahadhi ya #AfroBeats leo Februari 19, 2023, familia ya NBA itamtunuku Nyota wa LA Leakers #LeBronJames kama kinara wa Wafungaji Bora wa Ligi.

Kabla ya game ya kwanza, #PostMalone ataamsha uwanja kwa ngoma kadhaa huku mwigizaji #VinDiesel kutoka Fast X akiwakaribisha Wachezaji katika mchezo wa NBA All-Star.
Vipi Mdau, Unatarajia siku moja kuona Mastaa wa Tanzania wakifanya show hapo?

====================

All-Star Weekend is set to have an all-star lineup of performers. On Wednesday, the NBA announced that Nigerian stars Burna Boy, Tems, and Rema will headline the All-Star Game halftime show in Utah this Sunday for an Afrobeats-focused set.

Before Sunday’s game, Post Malone will hit the stage for a medley of his songs during the first arena-hosted All-Star Draft. Vin Diesel, who’s set to star in Fast X, will be the host for the night, announcing the All-Star game players.

Singer Jewel will be in charge of performing the United States national anthem, while Jully Black will perform the Canadian national anthem during Sunday’s game.

Last year’s All-Star game, hosted in Cleveland, saw the likes of Mary J. Blige, Ludacris, Lil Wayne, Migos, Gunna, and Lil Baby taking the stage.

Along with the halftime show performance and the All-Star Game, Utah is set to host musicians such as Janelle Monae, 21 Savage, Cordae, Ozuna, Kane Brown, Nicky Jam, and others for the festivities leading up to the game.

ROLLING STONE
 
Tz hatuna specific music identity ambao mtu akisikia anajua this is from tz so ni ngumu kupata special audience kama hiyo ya nba. Wenzetu mfano dr congo wana rhumba, south wana amapiano zao, west afr wana afro rythym zao, ethiopia wana muziki wao tena mzuri sana sema tu hawajaupromote.

Sisi tunavamia tuu kila kinachotrend, tunaimba rege,tunaimba rhumba, tunaimba amapiano, tunaimba hiphop, yaani kila aina ya matakataka huku tukiamini kuimba kiswahili ndio utambulisho wa mziki wa tanzania.

Mm naona bora hata tuipromote singeli kama national music identity ya tz tutafika mbali.
 
Tz hatuna specific music identity ambao mtu akisikia anajya this is from tz so ni ngumu kupata special audience kama hiyo ya nba. Wenzetu mfano dr congo wana rhumba, south wana amapiano zao, west afr wana afro rythym zao, ethiopia wana muziki wao tena mzuri sana sema tu hawajaupromote.

Sisi tunavamia tuu kila kinachotrend, tunaimba rege,tunaimba rhumba, tunaimba amapiano, tunaimba hiphop, yaani kila aina ya matakataka huku tukiamini kuimba kiswahioi ndio utambulisho wa mziki wa tanzania.

Mm naona bora hata tuipromote singeli kama national music identity ya tz tutafika mbali.
Singeli wale mabaharia hawajakopi mahala
 
Back
Top Bottom