boy

A boy is a young male human. The term is usually used for a child or an adolescent. When a male human reaches adulthood, he is described as a man.

View More On Wikipedia.org
  1. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania When boy introducing his girlfrend to his boys

    Boy introducing his 95th girlfriend to his boys HIS BOYs: hatujui hata umempa nini broh wetu hatujawahi muona akiwa kwenye love like this Alafu Girl nae Anajibu: ' ni mapenzi tu' 😅😅😅
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Mama yangu anachukia sana ninapomwambia kuwa sitaoa kamwe

    BURNA BOY AKANUSHA NDOA: SUPASTAA wa muziki barani Africa kutoka pande za Nigeria Damini, Ebunoluwa Ogulu maarufu kama Burna Boy amefunguka kuwa mama yake hukasirika sana pale ambapo anamwambia kuwa hatokuja kuoa. Kupitia insta story yake Burna ameshare ujumbe unaosema; “Mama yangu anachukia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Check the photos of the "Bonetics" a Nigerian boy who can twist himself into different positions.

    Check Out Photos Of Bonetics, The Nigerian Boy Who Can Twist His Body Into Different Positions Source; Check Out Photos Of Bonetics, The Nigerian Boy Who Can Twist His Body Into Different Positions - Mc Ebisco...
  4. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Ali Landi, 15-year-old boy who rescued two women from fire, dies of severe burns

    Ali Landi, an Iranian teenager who became a national hero after rescuing two women from fire, has passed away due to severe burns. Earlier this month, Ali, a 15-year-old boy from Izeh city in Khuzestan Province, rushed to rescue two neighboring women trapped in a burning house. After the...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 12-year-old boy flees home after beating 19-year-old brother to death

    A 12-year-old Primary Three pupil has fled their home in Miraa Village, Masafu Sub-county, Busia District, after allegedly beating his 19-year-old brother to death following a disagreement over a home-made ball. The suspect, who is a juvenile, is said to have fatally punched Umar Nsubuga who...
  6. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Wizkidayo ametangaza ujio wa Album yake mpya

    #ETrending Achana na kuvunja rekodi zake mwenyewe kufuatia kuujaza Ukumbi wa 02 Arena kwa siku tatu mfululizo, staa wa muziki nchini Nigeria ambaye kwa sasa amekuwa midomoni mwa mastaa wakubwa ulimwenguni Wizkidayo ametangaza ujio wa Album yake mpya...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kitu kingine, sikutegemea kama naweza kuja kuwa desa boy kwa sababu ya mapenzi

    Mrembo wangu anataka nimtafutie course outlines za course zote za LLB undergraduate. Nimejaribu but in vain.. Jamani Kama kuna mwanafunzi wa llb hapa na una course outline ya course yoyote please kindly share it with me nimpe shemeji yenu.. N.b : She graduated at UDSM more than ten yrs ago na...
  8. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Burna Boy amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift

    Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy ameandika, "Nimeujaza uwanja wa 02 Mwenyewe, kwa bei niliyotaka, kwa njia niliyotaka, sijaongea sana...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Al-Ahly walimchagua Konde boy na sio Banda?

    Kwa vyovyote vile kuondoka kwa Moquissone na Chama kumeiumiza Simba, no doubt. Miquissone alikuwepo na Banda alikuwepo lakini mmoja kaenda Al-Ahly na mwingine kaja Simba. Tusidanganyane, Banda sio Miquissone hata kwa robo. Tukaze buti
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify hap hapa TZ

    Hizi Ndizo Albums Pamoja Na EP's Zilizo Sikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify 1. Diamond Platnumz – A Boy From Tandale (2018) 30M 2. Rayvanny – The Sound From Africa (2021) 24M 3. Navy Kenzo – Story Of The African Mob (2020) 3M 4. Mbosso – Definition Of Love (2021)...
  11. The Eric

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata boy friend jeans za mtumba

    Wakuu samahani sana kwema! Wapi naweza pata zile boyfriend jeans za mtumba za kina dada. Wandugu napata wapi kiwepesi ziwe za kupoint kwa wenye mabalo msaada wenu tafadhali nina uhitaji nazo. Mwenye taarifa anijuze. cc Tanayzer
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake

    Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake. Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa. Maombi yanaendelea kanisani kesho. Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.😂😂😂😂😂😂😂 Mtu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Konde boy anapoteza pambano, wanasimba kapigeni kura jamani twitter

    link hiyo hapo https://twitter.com/CAFCLCC === Mpigie kura Luis Miquissone kupitia ukurasa wa @cafclcc wa Twitter ili goli alilofunga tulipocheza na Al Ahly liweze kuwa bora la Ligi ya Mabingwa Afrika 2020/21.
  14. Numero Uno

    JamiiForums Tanzania Collateral demage Burna boy

  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Maimartha Jesse na Konde boy, matusi nje nje

    Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala, Harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse. Eeh bhana eeeh mwanadada presenter Maimartha Jesse inasemekana ametishia mpaka kumpeleka mahakamani Konde boy , Kwa kile kinachodaiwa kumtishia...
  16. Slowly

    JamiiForums Tanzania Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

    Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Mr flavor na Burna boy ni ipi au ni mtu mmoja?

    Huyu Burna boy ninani? Au ndio huyo huyo Mr flavor? Mbona wanafanana?
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

    Ninaishi nje kidogo ya mji ambako nimejenga kanyumba kadogo tu ka kunisitiri. Ninaishi na mvulana wa kazi ambaye huwa ananisaidia shughuli za nyumbani kama usafi, kuangalia mifugo, kuangalia nyumba nk Juzi asubuhi nilikuwa natoka, akanifungulia geti, wakati narudisha gari nyuma nikaona...
  19. Slowly

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
  20. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Sound of Africa;Album ya Vanny Boy

    Nimeipitia hii albumb,binafsi nyimbo mbili au tatu tu ndo nimeziona kidogo ziko vizuri,Zamani, Mama na Lala ft Jux kiasi,..nyingine zote hazina maajabu,watoto wa mjini siku hizi wanaita "utopolo" Hitimisho:Binafsi EP ya Flowers was the best kuliko hii albumb ya hovyo kabisa tangu kuzaliwa...
Back
Top Bottom