bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania imekuwa na ongezeko kubwa la watu wanaotumia vyoo bora kutoka asilimia 21 Mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 Mwaka 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania imekua na ongezeko kubwa la watu wanao tumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022 ambapo ni hatua chanya ya kufikia lengo la 6.2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya 2030 “Sustainable Development Goals”...
  2. Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  3. Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. 𝗩𝗶𝗴𝗲𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮...
  4. Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo. Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe...
  5. Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini...
  6. Mabango yote nchi nzima, sifa zote mitandaoni za Rais Samia, hata kwenye 10 bora kuwa na GDP kubwa hatumo?

    Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off. This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output report for October. The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining. GDP projections...
  7. Amri Kiemba: Simba Imepata Tuzo ya Kujaza Watu Uwanjani Sio Mashabiki Bora

    Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora . Upi mtazamo wako kwenye hili ____? Chanzo Clouds Media https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
  8. Nchi hii ni bora ukutwe na madawa ya kulevya ila sio maini ya swala

    Haya , huyu nae kala miaka 20 Jela kwa kukutwa na maini ya Swala aliyoyanunua kwa shs.1,000/= Mwingine miaka 22 https://www.jamiiforums.com/threads/picha-ya-uso-wa-mtu-aliekata-tamaa-ya-kuishi-baada-ya-kuhukumiwa-miaka-22-jela.2155829/
  9. Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
  10. Simba achaneni na kocha Nabi; hafai na hawafai kwa lolote. Bora mara mia mumrudishe robertinho

    Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
  11. Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Kuna tetesi kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora, Wengine wanafika mbali kudai kwamba Yanga ikikosa ubingwa basi husalia namba 2 tu, si nje ya hapo. Ni kweli?
  12. L

    CIIE ni jukwaa bora kwa nchi za Afrika zilizojiunga na BRI kuingia kwenye soko la China

    Kutoka mpunga chotara hadi nyasi za juncao, kutoka maeneo ya kielelezo ya kilimo hadi vijiji vya kielelezo vya kuondokana na umaskini... katika miaka ya hivi karibuni, China na Afrika zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kilimo kutokana na msukumo wa mifumo mbalimbali kama vile Pendekezo la...
  13. Wasio na choo bora kujengewa na Serikali kwa fedha zao wenyewe

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo kwa usimamizi mkali wa Serikali zao kwa kushirikiana...
  14. L

    Kwa hizi mvua zinazoendelea ni bora shule zifungwe kwa muda

    Kwa sababu ya mvua hizo kubwa zinazoendelea ni Bora shule kufungwa, hata badhi ya sehemu mahudhurio ni kidogo kuliko kawaida.
  15. Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoy   (Nigeria) Libianca (Cameroon) na TylerICU (Dj wa Afrika Kusini). Hongera sana sisi wanaJF tunathamini...
  16. B

    Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

    Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba. U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko...
  17. M

    Sijaona Jeshi Bora kwa sasa Afrika nzima kama letu la JWTZ, pongezi nyingi mno Kwao

    Nimebahatika Kukutana mahala na Wakufunzi Watatu wa Angola, Rwanda na Misri pamoja Wanajeshi wa Afrika Kusini na kwa Mshangao mkubwa wakaniambia MINOCYCLINE kuwa bado kwa sasa hawajaona Jeshi lolote la nchi za Bara la Afrika ( zikiwemo zao Wanazotoka ) lenye Ubavu wa Kupambana na Jeshi la...
  18. Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

    GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
  19. Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  20. R

    Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…