Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,908
Wakuu,

Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula?

Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
 
Kuchoma nyama - Airfryer
Kuchoma kuku mzima - Airfryer
Kuoka chips (sio kukaanga) - Airfryer
Kupasha chakula - Microwave oven na hata Airfryer (ingawaje utakuwa unaichosha)

Kifaa cha kufanya kazi hizo zote unataka, nunua jiko lolote iwe la gesi, umeme, mkaa n.k...
 
Nunua Kenwood original sio yale mafamba ya kichina...

Ukishaona kampuni moja inatengeneza utitiri wa vitu sijui redio, speaker, feni, TV, blender, friji, oven n.k, hiyo si kampuni ya kununua vitu vyake...ndio hao kina Aborder, Mo electronics, Ailyons n.k
Kwa io Toyota na utitiri wa magari haifai? Au ni kwa electronics?
 
Nunua Kenwood original sio yale mafamba ya kichina...

Ukishaona kampuni moja inatengeneza utitiri wa vitu sijui redio, speaker, feni, TV, blender, friji, oven n.k, hiyo si kampuni ya kununua vitu vyake...ndio hao kina Aborder, Mo electronics, Ailyons n.k
asante kwa recommendation before nilifikiri Kodtec ndio wazuri.
 
Kodtec nao ni wachina tu, zamani walikuwa wakitengeneza speaker tu kwa ajili ya PC na laptops ila siku hizi naona wanatengeneza vitu kibao...
Original unaijuaje sasa, nimecheki kweli wana products nyingi sana, ila naona bei zao ni sawa na kina aborder hapo ndo nashindwa mtu usije ingia kichwa kichwa.
 
Wakuu,

Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula?

Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
air frier ni kama unataka kuchoma bila mafuta,ila zile microwave zenye option ya kuchoma pia zinachoma bila mafuta nyama yoyote ile.air frier inafaa sana kuchoma chipsi ila microwave haifai kuchomea chipsi
 
Nunua Kenwood original sio yale mafamba ya kichina...

Ukishaona kampuni moja inatengeneza utitiri wa vitu sijui redio, speaker, feni, TV, blender, friji, oven n.k, hiyo si kampuni ya kununua vitu vyake...ndio hao kina Aborder, Mo electronics, Ailyons n.k
yaani mimi hizo aborder sijui ailyon hapana kabisaa....kitu kenwood
 
Chukua machine hiyo, inafanya vyote hivyo na chai pembeni kuna jagi

Kuna jamaa humu humu jf aliipost anauza
IMG_20240216_170129_334.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom