bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. vvvv

    JamiiForums Tanzania Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unaoendelea katika Taifa letu

    Shalom in advance wakuu. Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao. Kila taasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana. Licha ya serikali kuweka Sheria...
  3. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Pacome Zouzou achaguliwa kuwa mchezaji bora hatua ya makundi CAF champions league

    Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni! Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza! Amafuatiwa na mostapha shobeir...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Timu bora huanza kujichuja kuanzia hatua ya Robo Fainali

    Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani. Hivyo, kuanzia hatua ya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Laptop aina ipi ni bora sana Lenovo HP au DELL?

    Wadau kati ya hizo laptop hasa used ni ipi Bora sana kwa kazo zetu mbalimbali za mziki, office, graphics, engineering etc
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Tafakuri Jadidi: Mzee Mwinyi Anaondoka Na Hatuna Kinyongo Nae.. "Kila zama na kitabu chake"- Ali Hassan Mwinyi. Na leo Watanzania zimetufikia habari za kuhitimishwa kwa Sura ya Mwisho ya Kitabu Cha Mzee Mwinyi. Ameifariki Dunia. Umma umegubikwa na simanzi. Mzee Mwinyi tulimpenda sana. Naam...
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania 10 bora ya WanaCCM wanaokifanyia chama kazi kubwa hapa JF

    Wafuatao wanastahili maua yao kwa kazi kubwa ya kukipigania CCM hapa JF. Hawa ni legends wa Chama kilichobeba matumaini ya watamzania wote yaani CCM. Wamefanya kazi kubwa ya kukieneza chama JF kwenye upinzani mkali. 1. Lizaboni 2. Bia yetu 4. Lucas mwashambwa 3. MamaSamia2025 4. USSR 5. Etwege...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

    Kama nilivyosema wadau naomba ushauri
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora kukaa kwa kaka aliyeoa au Kukaa kwa dada aliyeolewa, wakati unajichanga maisha?

    Habari za Leo Wanajf, Katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'. Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

    NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima. Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule bora za High school (ada chini ya 2 Milioni)

    Wakuu habari zenu, Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million. Asanteni sana wakuu
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Picha yangu bora ya siku

  17. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ungepewa milioni 12 uwekeze, ungefanya uwekezaji gani? Wafanyabishara waheshimiwe, ajira ni bora zaidi ya biashara

    Wafanyabishara wote, na wapambanaji wote walioweza kutoka chini, bila kitu na wakafanikiwa kuona Mwanga, aisee ukimpita mtu wa hivyo jaribu kumheshimu sana maana hustling zake sio za kitoto. Nimeelewa kwanini Baba yangu alikuwa ananikazania nisome, biashara sio kwa ajili ya watu dhaifu, ila...
  18. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?

    Utafanya nini kuleta uwajibikaji ikiwa jimboni kwako kuna mwanasiasa kama huyu?
  19. W

    JamiiForums Tanzania Annual Tanzania Service Excellence Awards 2024 waitaja NMB kama Benki bora zaidi Tanzania

    Benki ya NMB imeshinda tuzo tatu kutoka Taasisi ya Chartered Institute of Customer Management zikiitambua Benki kama kinara katika utoaji huduma bora na wezeshi nchini. NMB imepata heshima hiyo kupitia tuzo za ‘Mwaka za Umahiri wa Huduma kwa Wateja 2024 (Annual Tanzania Service Excellence...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nitajie Comedy Movies 10 ambazo kwako ni bora zaidi na lazima ukenue ukiwa unaingalia

    Zangu ni 1: Dumb and Dumber 1 and 2 2: Anchorman 1 and 2 3: Ace Ventura 1 and 2 4: Superbad 5: Stepbrothers 6: Scary Movie 3 na 4 7: Naked Gun zote 8: Tropical Thunder 9:Blended 10: Friday
Back
Top Bottom