Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Kuna vimaneno vimeanza kusambazwa na mbumbumbu kuanza kumfananisha Diarra na kipa wao Ayoubu Lakred!
Anayeweza kuwalinganisha wawili hao kwa sasa kwa maana ni Kama unalinganisha kichuguu na mlima!
Unamlinganisha kipa aliyefanya vizuri kwenye mechi 3 dhidi ya kipa aliyeonyesha ubora wake miaka...
Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring...
Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha...
Ni ipi bora kwako katika kuishi na waja kati ya haya
1. Kua busy na maisha yako bila kujali ya wengine, unachoshiriki ni misiba nasherehe ambazo utakua unaalikwa
2. Kujipendekeza sio kwa ubaya mfano jambo halikuhusu lakini unaona una uwezo wa kulifanya na likawa ukafanya.
3. Wewe ni mama /...
Kutoka Nyon, Uswizi kutakuwa na Droo ya 16 bora katika ligi ya mabingwa Ulaya. Droo hiyo itafanyika saa nane mchana kwa saa za Afrika ya Mashariki. Je nani atapangwa na nani
I must confess that nilikua sijui kama kuna rapper anaitwa Lil Durk, But I'm a big fan of Jermaine Cole (J Cole) so involvement ya J Cole kwenye huu wimbo ndio umefanya niupende sana na beti yake kaua kinoma noma.
Wimbo umekua national anthem ya dunia zima Beat kali flow za kibabe za Cole...
Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo.
Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
Tulidhani ujio wa verified USER ID ya TANESCO italeta neema kwetu, kumbe ni bora isingeanzishwa.
Tulijua TANESCO wangekuwa wakitujulisha mambo mbalimbali ili tujiandae lakini wapi.
Leo tumeshindwa kununua umeme wa Luku, TANESCO wako kimya, wangeweza kabisa kutujulisha mapema kwamba tununue...
Lisu ana matatizo sana jamani, msikie anavyopingwa na wakenya kwa ushahidi. Anaitangazia ubaya Tanzania huko nje ya mipaka, ni hatari sana huyu mtu. Hataki wawekezaji waje hata kidogo. ni mtanzania gani?
https://www.youtube.com/watch?v=FPYkc2W3ZVc
Wazazi daima tuna jukumu kubwa sana la kusisitiza maadili kwa kubwa kwa watoto wao hawa katika kipindi wanapokua na kuchunguza ulimwengu unaowazunguka, lakini lengo la msingi linaweza kuwa sio hilo bali ni kuwatengenezea msingi mzuri wa Maisha hapo mbeleni hata tukiwa hatupo karibu yao.
Ingawa...
Nape Nauye amepata mashambulizi makubwa sana mengi yakiwa yanatokana na historia yake kisiasa. Yapo makosa ya kisiasa ameyafanya na sasa yanamgarimu sana.
1. Kutumia goli la mkono kushinda uchaguzi
2. Kulazimisha tume ya uchaguzi imtangaze mshindi bila kupingwa
3. Kumtukana JPM akiwa hai
4...
Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify..
Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
Hamasa miongoni mwa nchi za kiislamu kuhusu vita vinavyoendelea Gaza zimepanda zaidi.
Viongozi watatu ndio waliozungumza kwa hasira kwenye mkutano wa mazingira unaoendelea huko Dubai.
Raisi Erdogan amesema vita vikimalizika Benjamin Netanyahu itabidi ashtakiwe kwenye mahakama ya uhalifu wa...
Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu
Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
Karibu kupata huduma ya usafi kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
Ninajivunia kutoa;
Usafi wa kina, utapata usafi thabiti na wa kina katika kila kona ya nyumba yako.
Muda ufaao, Ninazingatia muda wako mteja, yaani nakuletea
huduma ya usafi bila usumbufu.
Fanya sikukuu zako ziwe zenye furaha...
Zile siku ambazo tuliishi kuziota kuwa badae yetu, kiasi zimekua mbali na sisi, naam! zile siku tulizoambiana utotoni kuwa tungekuwa hivi na vile.
Siku zilizojengwa kwa dhana na picha ya umaridadi kwamba kabla ya miaka ya muongo wa tatu tutakua tumefika hapa na pale au kumiliki hiki na kile...
Habari zenu wadau
Nimekuja hapa nahitaji muongozo wenu nijue kampuni gani inafaa za hii huduma web hosting hapa Tanzania
Ninataka nifungue site yangu kabla sijakulupuka nimeona ni vyema nipate muongozo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.