Pantheon Show: Moja ya series bora zaidi upande wa TECH

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,739
Aisee

Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu

Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali

20240215_211110.jpg

20240215_211118.jpg

20240215_211123.jpg

20240215_211127.jpg



Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI.

Fikiri inakuja technology ya ku upload ubongo kwenye cloud,

Unakua uploaded kwenye server wewe na personality yako

Nimejikuta na google vitu vingi sana na pia nimeongeza ufahamu hasa kwenye advance AI and field zake hasa DL

Review: 9.5/10
 
Back
Top Bottom