Maharage bora na safi kabisa bei kitonga

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari.

Haya hii hapa fursa maharage safi kabisa na bei ni kitonga unateleza tu, tunauza kuanzia kilo moja na kuendelea
Kilo tunauza kwa sh 3300 lakini ukinunua kuanzia kilo 5 tutakuuzia kwa sh 3000.

Karibuni sana wadau
 

Attachments

  • IMG-20240213-WA0005.jpg
    IMG-20240213-WA0005.jpg
    82.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240213-WA0004.jpg
    IMG-20240213-WA0004.jpg
    130.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240213-WA0003.jpg
    IMG-20240213-WA0003.jpg
    127.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240213-WA0002.jpg
    IMG-20240213-WA0002.jpg
    98 KB · Views: 2
"BEI KITONGA" Hizi lugha za kipuuzi kwenye maswala muhimu kama biashara kwa nini mnapenda kuzitumia?
 
Back
Top Bottom