Habar,
Kwa Mwaka huu kumeshuhudiwa ufunguzi wa shule nyingi katika sehemu mbalimbali ya Tanzani,
Shule ambazo zinamuundo tofauti na shule hizi zingine za sekondari, shule hizi mtaala wake unasema Mwanafunzi atafundishwa elimu ya vitendo zaid kumpa ujuzi wa shughuli mbalimbali ambazo baada ya...
Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa .
Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au viumbe wa ajabu baada ya kukojolea Quran. Walikuja na picha kabisa za hao viumbe waliobadilika kuwa...
Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.
Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza...
Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi.
Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
Anaandika Malisa GJ
Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kuwa real estate ya bongo ni pasua kichwa, nikacompare bei ya nyumba Atlanta GA, zikazidiwa bei na baadhi ya nyumba za Dar. Yani ni Futuhi. Nyumba ya Philadelphia inazidiwaje bei na nyumba ya Kimara Temboni? Kweli bongo nyoso.
Anyway, hii...
No Case to Answer
In English criminal law, no case to answer refers to a situation in a trial where the defence argues that the prosecution's evidence is so weak or lacking that a reasonable jury, properly directed by the judge, could not convict the defendant. It allows the defence to...
Kuna mtu kaposti gari namuuliza hii ina injini gani? Ananijibu huoni nimeandika injini cc 2000 boss 🤣🤣🤣.
Nikaona sio kesi nikamwelewehaa mfano toyota kuna 1GD kuna 1HZ na zinginezo. Sasa hii BMW unayouza ina engine gani N47 au B47. Hapo sasa akanivunja mbavu, akasema boss gari imenyooka injini...
Mpira wa Bongo siku hizi unaonyesha wazi: ukijenga brand, fursa na pesa vinafuata.
Fei Toto kwenye dirisha hili la usajili, dau la kuvunja mkataba wake lilifika hadi bilioni 3.5.
Azam wameamua kumuwahi mapema wakijua amebakiza miezi 6 tu kwenye mkataba na timu zinaendelea kumnyemelea. Kuna...
Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱
Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern.
Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
Dawa hii imekuwa mkombozi sana kwa watu wanaotaka kupunguza uzito. Kwa sababu ya bei ilikuwa inapatikana kwa matajiri tu. Karibuni walisema brands mbalimbali za bei rahisi zitaanza kupatikana. Zimetufikia maana naona na mastaa wa bongo wanaanza kukonda ghafla.
Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad
hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani...
Hawajamleta mkali voice wounder
Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc
Bado nitaendelea kuamini ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.