Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,618
Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋.
🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators) wataweza kuonekana kirahisi zaidi kupitia Google Search.
Jambo ambalo litaweza kurahisisha mashabiki na wadau kuweza kuwafuatilia kwa kuona kazi zao na kupata taarifa Muhimu kupitia matokeo ya utafutaji kwenye Google Search.
Je, hii itawasaidia creators kupata audience kubwa zaidi kuliko ilivyokuwa awali? 🤔