Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 820
- 2,961
Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.
Sasa hivi watu hawaoni haya kuchukuana kama kikundi na kwenda kufanya sex huku wakipasiana wenza yaani akipiga hapa anaennda kwa mwingine yule mwimgine anachukua wake.