bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo?

    Mwamba huyu apa Konk Master Hivi kwanini Dudu Baya anapendwa sana na watu hapa Bongo
  2. Mtaachana

    JamiiForums Tanzania Zemanga soze kashakuja sana bongo hapa na timu tofauti tofauti na hajawahi kupoa

    Miaka 33 mpka sasa lakini leo Karudisha viungo wote darasani, kaanza ngoma kakimbia kaja DAMARO kakimbi kaja DUKE, MUDA, na CASSEMIRO hao wataenda kulala na viatu mtaalamu alizima kelele mjini
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Isaya Yunge awakwepa Wadangaji lia-lia (wapiga vizinga, njaa kali) Bongo!

    Mwamba kakwepa kiunzi cha wadangaji wa bongo njaa kali. Kaenda kwenye ufalme wa maziwa na asali, familia bora ya Ruto. Poleni sana wadangaji lia-lia
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google Assistant unaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  5. karonga

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo flavor

    Hili tamasha la miaka 30 ya bongo fleva limeibua mambo mengi tusioyajua, ni bora kusikiliza zile nyimbo zao za zamani kuliko kuwasikiliza hawa wasanii, Sauti zao zimepotea kabisa, sijui ni uzee au washazilia unga, bangi na pombe sielewi, ninachojua ni kuwa Dudu baya ndie pekee mwenye sauti yake...
  6. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA

    MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA VERSE. 1 Mimi ni dreva/ Na nitabaki hivi forever/ Najua nifanye nini ili nibaki kuwa super/ Nilishasema mimi ni zaidi ya rapa/ Na watu ndio wanataka nizidi kubaki hapa/ Nataka number one DJ, muweke number one/ Mi kwanza nataka mshiko ndipo niwe number one/ Dani...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva ina miaka 30? Kulikuwa na kwanza unit ya akina D knob na Niga one

    HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
  8. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
  9. masai dada

    JamiiForums Tanzania Athletes...wanamichezo wa bongo hawafiki mbali sababu ya kipochi

    Kibongo bongo ukiacha wasanii kuna hili kundi la wachezaji na wanamichezo mbalimbali ikiwemo ngumi and so on udhaifu wao ni kipochi.... aiseee Hatuwezi kuwa na watu wengi wawakilishi nje huko au wazuri wakadumu Sabbu ya pale kati...nimestaajabu baada ya kujua jambo hili mapenzi yanaua nguvu sana
  10. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Media za Bongo zinatoa sana airtime kwa mambo yasiyo na tija kwa jamii kuliko yale ya msingi? Nimeamini kupitia sakata la Doto Magari

    Habarini wakuu.. Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa. Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa zake kuwa ni muathirika na kumekuwepo na kurushiana maneno kati yake na waanzilishi wa hizo tuhuma jui...
  11. papag

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio "WAKONGWE HALISI" kwenye bongo hip hop

    hapo watatu ninawafahamu washatangulia mbele za haki. Ri.p legends
  12. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole hapa Bongo hayafundishi tena kuhusu Mpinga Kristo & 666. Kulikoni?

    Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku! Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni. Leo...
  13. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini bongo hakuna organized youtubers ila tuna wapiga kelele na watingisha makalio huko tik tok na insta

    Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu Au basi tu watengeneza maudhui na sisi watumiaji wote akili moja 😁
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hawa wahuni wamenipiga au ni real? Gari iingie Nchini 2013 mpaka leo iwe na km 150,000 tu. Inawezekana?

    Nikicheck Odo sasa hivi ndo nawaza kuwa hawa wahuni huenda kuna mchezo wamenichezea. Wabongo si watu wa kuaminika. Wakongwe na wazoefu nipeni experience katika hili. Ilikuja bongo kwa ajili ya mradi maalumu then ikawa ya mtú na sasa kavuta. Mtoto hawezi kuiendesha /kuigharamia Thanks
  15. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Msanii Mr. II aka Sugu akataa "posho" ya TSh. 2m kutumbuiza kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava

    Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee..... Sugu akaongeza: Hii game naijua...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Hela ya Tanzania haina thamani tena, naanza kuiona Zimbabwe Bongo

    Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  19. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri inayoaminika inayotoa huduma za hosting, domain na cloud server hapa Bongo

    Nalileta kwenu wataalam, Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Fleva kwanini mnapiga kelele wakati wa kuimba?

    Salaam Wakuu, 1. Ni aibu sana.. Msanii unaingia kuimba unapiga kelele. Kwa kelele hizo, pumzi zinakata hata hajamaliza Beti ya kwanza. 2. Wanalazimisha watu kuweka mikono juu, kupiga vigeregere, kuoiga miluzi nk. 3. Tumelipa kiingilio tuimbiwe, lakini msanii akipanda anamwambia DJ azime...
Back
Top Bottom