Ndio mzee mwenzanguTatizo humu wengi ni madogo sanaa
90% yenu hamjui hizi ngoma kitambo sana kabla hamjaanza kutumia mademu zenu emoji za kulia lia
GMW mazimwi ft sugu-YAMENIKUTA
sugu - nasema nao
Mabagga fresh ft j.nature - mtulize.
Hard blasters - Chuzi limekubali
Kwa leo imetosha
Hiyo nasema nayo iache kaka👐Tatizo humu wengi ni madogo sanaa