Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Bongo Star Search Season 16 Special Thread

Saint Anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
78,498
Reaction score
235,199
Bongo Star Search 2026 - Msimu wa 16 🔥
Sasa inaitwa CRDB Bank Bongo Star Search 2026

Mambo muhimu ya msimu huu:

1. Theme & Zawadi

  • Theme: "Next Level Revolution" + "Beyond Borders"
  • Mshindi anaenda na milioni 50+ na gari jipya

2. Sio uimbaji tu tena
Msimu huu umepanuka. Sasa wanakubali:
Uimbaji, Uchezaji, Sarakasi/Acrobatics, Uchekeshaji/Comedy, Uigizaji, Uchoraji, Vipaza ala

3. Tarehe & Majiji ya Auditions
  • Ilikua ianze Nov 22, 2025 Mwanza La Kairo Hotel
  • Lakini sasa imeahirishwa: Feb 7-8, 2026 Mwanza Rock City
  • Majiji mengine: Arusha Nov 29-30, Mbeya, Dar es Salaam, Dodoma
  • Uzinduzi nje ya Tz kwa mara ya kwanza: Machi 12, 2026 Nairobi

4. Vitu vipya 2026
1. CRDB Bank wameingia kama mdhamini mkubwa
2. Wasiofaulu wanafundishwa financial literacy na CRDB
3. Wanashiriki kutoka Tz + Kenya, Uganda, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi
4. Inaonyeshwa kila Ijumaa na Jumamosi 8:09-8:30
Jumapili 8:00 - 9:00 PM Sinema Zetu, Azam Tv

5. Majaji
Madam Rita Paulsen, Master Jay, Coy Mzungu ,Salama Jabir

6Washiriki
1.Zion (Dodoma)
2.Zacksoul(Arusha)
3.Pendo John(Arusha)
4.Sofia(Mbeya)
5.Sheridah(Dsm)
6.Freya Bellamy(Congo)
7.Praise Wisdom (Uganda)
8.Bellanuts(Rwanda/Uganda)
9.Joshua Gully,(Congo )
10.The only Jambia(Kenya)
11.Switney(Kenya)
12.Tel Ur vision .group la Dancers (Dsm)
13.Wa Drama(Comedian _ Mbeya)
14.Sumerellah(Dodoma)

1
BSS Winner season 16 2025/2026
PRAISE WISDOM _UGANDA

50Million Tzs
Gari kutoka AA motors Morogoro

images_b81631f9-01be-40.jpg
 
Pendulah tokea mkoani niliona anabebwa, alivyotolewa nilifurahi.
Pendulah habebeki yule sijui aliingia kwa kimemo???? Mi pia nilifurahi
Mimi shabiki wa Switney ila Mdada wa Congo yupo vizuri.
Huyo wa congo ni balaaa kiukweli
Naona judges wanamjaza Praise
Madam asitutanie ni anataka huyo praise ashindwe na ni kama anatulazimisha tumuone anaimbaa vizuriii.
 
Pendulah habebeki yule sijui aliingia kwa kimemo???? Mi pia nilifurahi
Alivyokuja Dar wenye vipaji wanatolewa, yeye yupo tu
Coy alikua anamwambia yeye ni full package😂
Madam asitutanie ni anataka huyo praise ashindwe na ni kama anatulazimisha tumuone anaimbaa vizuriii.
Bora na wewe umeona! Sauti anavyoitetemesha naona hata hainivutii kusikiliza.
Wacongo hajawahi kupewa sifa mbaya hata mara 1.
Anakiwasha bila kutumia nguvu.
 
Alivyokuja Dar wenye vipaji wanatolewa, yeye yupo tu
Coy alikua anamwambia yeye ni full package😂
Coy mnafki yule,,,, full package ilikuwa mbinu tu ya kula kimasihara
Bora na wewe umeona! Sauti anavyoitetemesha naona hata hainivutii kusikiliza.
Kiukweli huyo mtoto sio mkali!!!!! Labda watuambie kwa umri huo alionao huku mbeleni atakuwa mwanamziki mkali sana
Wacongo hajawahi kupewa sifa mbaya hata mara 1.
Anakiwasha bila kutumia nguvu.
Halafu mi naona bonge hapigwi pamba Kali kama wenzie. Isije kuwa ni moja ya fitna hiyo
Wanamvalisha kawaida halafu anakuja kuwasha
 
Inaweza ikawa kweli au yeye mwenyewe anapenda kuvaa vile.
Siku wakimvalisha kidada na anavyoimba mbona mashabiki tutafurahi!
Weweee,, sio kwmba anapenda ni vile dizaina katonywa tu aharibu wapate Chaka
Madame anavyopenda vijana wapendeze halafu mcongo anakuja rafu kwa stage!!!!!
Haki yake ya kupendeza ataipatia kutoka jeshi la TikTok na ndio hapo praise atakapoanza kulia kiganda.
 
Pendulah tokea mkoani niliona anabebwa, alivyotolewa nilifurahi.
Mimi shabiki wa Switney ila Mdada wa Congo yupo vizuri.
Naona judges wanamjaza Praise
Switney wamemroga
Mwanzo alikuwa moto sana
Mi nilikuwa shabiki yake
Ila alivyokuja Freya
Nimehamia mazima Congo
Wacongo wawili wote wa moto sana.

Huyo praise sijui Kwa vile ni mimi sijui muziki
Mtu anapayuka payuka
Mitetemo hovyohovyo
 
Coy mnafki yule,,,, full package ilikuwa mbinu tu ya kula kimasihara

Kiukweli huyo mtoto sio mkali!!!!! Labda watuambie kwa umri huo alionao huku mbeleni atakuwa mwanamziki mkali sana

Halafu mi naona bonge hapigwi pamba Kali kama wenzie. Isije kuwa ni moja ya fitna hiyo
Wanamvalisha kawaida halafu anakuja kuwasha
Mimi nipo na big Hadi mwisho wa pambano
Mkali sana yule Dada walaq
Ametulia sana
Na ambao zake za shati na jinsi,
Anaangusha key Moja baada ya nyingine
 
Back
Top Bottom