Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
203
Reaction score
234
Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu.

Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali.

Jiji lenye vyanzo mbalimbali vya kupata kipato kuliko majiji yote Tanzania kama sio Afrika Mashariki.

Miguu na utumbo havitupwi
Vitu bandia kibao hata matano unauziwaa. Kikubwa fedha chochote unapata. Elimu inauzwa pia A ya hesabu Dar es Salaam sio sawa ba ya mkoani. Wakubali mwenzetu. Boda boda ni wengi sana hasa usiku wengine wanapiga deiwaka.

Basi kisha chenyewe nilikutana na bidada asubuhi anatembea akafika mahali akakaa kamw kilema.

Then akaweka ofisi vizuri na kuanza kuomba hela. La hasha hakuwa mlemavu. Je usiku baada ya ofisi anaondokaje asijulikane kama mzima. Hapo mimi sijui.

Pesa mbele dili haramu zinalipa sanaa Jiji hili. Akili kichwani usipige shoti murilo yupo na batani ya off
Akibonyeza tuu uraini utapasikia.

Anyway world cup hii mnaangalia mechi baada ya kucheza mechi
Maana usiku huoo
 
Natamani sana kufika Dar kabla sijafa, kila nikisikia story Au kuona kwenye tv mandhari ya Dar hua yananivutia mno.
 
Mbona wewe unamuibia bosi wako lakini wakati analalamika na kutafuta kilichopotea unajifanya kumpa msaada wa kutafuta?😄😄
Wakati unapambana na hali yako jitahidi usitikise hali za wengine
 
Mbona wewe unamuibia bosi wako lakini wakati analalamika na kutafuta kilichopotea unajifanya kumpa msaada wa kutafuta?😄😄
Wakati unapambana na hali yako jitahidi usitikise hali za wengine
IMG_9005.jpeg
 
Back
Top Bottom