bless on
Member
- May 22, 2026
- 62
- 142
Kule ulaya ukimfuata Demu ukamuambia unampenda jibu utalipata kabla hata dakika Tano hazijaisha. Akikupenda atakujibu I like you too na mazungumzo yataendelea akiona humvutii atakuambia I'm not interested kwa heshima. Hakuna Ile habari ya ngoja nifikirie ambayo itachukua mwezi mzima. Kwao, muda ni mali, hawataki kupoteza muda wako na wao.
Huku kwetu, ukimtongoza demu leo, usitegemee jibu hapo hapo. Lazima akuzungushe, akupige kalenda, na wakati mwingine akuchunie kabisa. Sio kwamba hakutaki, ila anataka aone kama una uvumilivu na kama mfuko wako umetuna.😁😁😁
Kabla hata hajakuambia ndio, tayari vizinga vinaanza. Mara mdogo wake anaumwa, mara hana bando, mara umeme umeisha. Yaani bado hujampata, lakini tayari ushaanza kutoa huduma kama mume wa ndoa. Na akija ghetto, picha linaanza upya nauli lazima utume, na akifika hapo ndani hadithi ni nyingi kuliko vitendo!..
Ukimtongoza demu wa kibongo, jua umetongoza na mashoga zake wote. Lazima wakae kikao wamchambue mwanaume ana gari? anavaa vizuri? anaishi wapi? Ukipita kwenye hicho kichujio ndio unapewa nafasi.🤔
Ukifanikiwa kumleta gheto, picha linaanza mlangoni. "Mbona unaniangalia hivyo? Mimi sitaki mambo hayo leo, au Nimekuja kupiga story tu. Unaweza kukaa saa tano unapiga story za siasa na uchumi wakati moyo unadunda "mechi! mechi!".😁😁😁
Na asubuhi ikifika, hapo ndio utajua kwanini mwanaume wa kibongo lazima awe na akiba ya dharura. Demu anaamka huku kanuna au amejifunika shuka mpaka kichwani. Ukimuuliza Vipi? anakuambia, Nawaza tu, hivi unanichukuliaje?.😂
Ukimpa buku tano, anakuangalia kama umemuibia. Nauli ya Bongo baada ya mechi ni kodi, salon, na gharama za usumbufu!.
Yaani Bongo ni mwendo wa mizengwe mwanzo mwisho familia. Bila uvumilivu na muamala wa kutosha, utaishia kuambiwa "Tutaonana baadae" mpaka mwaka uishe.
Hasa hivi vitoto vya buku mbili bora hata wa tisini ndugu yangu.😁
Ulaya, mambo ya pesa na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Demu ana kazi yake na hela yake. Hawezi kukuomba hela ya kucha kisa tu umemtongoza. Anachotafuta ni connection na furaha, sio mfadhili wa kumsajilia laini.
Huku kwetu, mechi haishi mpaka utume muamala wa mwisho. Ukimtoa getoni, lazima usubiri meseji ya Nimefika lakini nina njaa au Mdogo wangu kanipigia simu ana shida ya elfu kumi.. Yaani unajikuta unalipia huduma ambazo kule Ulaya ni haki ya kila mtu kufurahia bila kudaiwa.
Ulaya, mkimalizana, mnaweza msiongee tena mpaka mwezi upite na hakuna anayemchukia mwenzake. Ukimwambia "Nitakupigia," ukipiga sawa, usipopiga maisha yanaenda.
Bongo ukijaribu kukaa kimya siku mbili bila kumtafuta baada ya mechi, utaitwa Mtumiaji, Tapeli la Mapenzi," na Mtu asiye na huruma. Lazima uanze kumpigia simu kila saa, umuulize Umekula?, akuambie hajala utume tena hela, na uthibitishe kwamba bado unampenda kuliko jana.😂
Kule ulaya hakuna mambo ya Kikao cha Mashoga. Ukimtongoza demu , uamuzi ni wake yeye kama yeye. Rafiki zake wanaweza wasijue hata kama mmedeti mpaka pale mtakapofika mbali. Hategemei rafiki yake amchambulie mwanaume kama ana gari au anaishi wapi.
Anajali zaidi tabia yako na kama mnaendana. Mkikubaliana kwenda nyumbani, kila mtu anajua kilichomleta. Hakuna mambo ya kuanza kuvutana mlangoni au kuambiwa Mimi nimekuja kupiga stori tu. Hakuna Zima taa wala Sijajiandaa.😁😁 Ni watu wawili wazima wamekubaliana kufurahia wakati wenu.
Kule mbele, ukimualika demu chakula cha usiku anakuja yeye kama yeye. Tena anaweza hata kukuuliza, "Tunaenda wapi ili nijue nivae nini?" Mkifika, mnakula, mnakunywa, na stori ni zenu wawili. Hakuna mgeni mwalikwa, na mara nyingi hata bili mnaweza kuchangia au akakuambia "Leo mimi nitakulipia." Ni ustaarabu mtupu.
Huku kwetu sasa, ukimwambia binti Tukutane pale tupate chakula, jiandae kisaikolojia. Utamuona anakuja na kikosi cha maangamizi mashoga zake wawili au watatu.
Huyu ni shoga yangu kipenzi, tuko naye kila mahali, huyu naye ni mdogo wangu wa hiari..." Hapo sasa, wewe uliyejipanga kununua kuku mmoja na soda mbili, unajikuta unaagiza kuku watatu, vinywaji vya gharama. Mashoga zake ndio wanaagiza vitu vya bei kali kuliko hata huyo demu uliyemtongoza.
Bongo, mwanamke anatumia mashoga zake kama "kamati ya ufundi." Wanakuja kula kwa gharama zako ili baadae wampe ripoti Yule kaka ana mkono wa birika au Yule mzee yuko vizuri, usimuache!" Yaani unalipia chakula cha watu watano ili upate "viza" ya kuongea na mtu mmoja.😭
Kule Ulaya, ukimlisha rafiki yake, atakuona kituko na huenda demu akakasirika kwa nini umeingilia faragha yenu. Lakini Bongo, usipowalisha mashoga zake, umejichimbia kaburi la mapenzi kabla hata safari haijaanza.😁