Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ?
Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli?
Britanicca
Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva.
Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show.
Je, ni kweli???
huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa
Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya...
Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
Huyu mwamba alishapata tuzo ya msanii wa muziki wa Rege Bongo enzi hizo..alikuwa mnyamwezi sana..anasuka madredi yake toka kitambo..
Alifanya muziki mzuri sana hadi watu tukampenda sana..akawa na mdogo wake anaitwa Fatma ndio aliimba naye..wimbo fulani hivi, halafu huyo Fatma ndio akaimba na...
Game theory;
Ni mkakati maalumu wa kupata matokeo uyatakayo kwa kutumia, kufanya au kushawishi maamuzi kabambe.
Mfano. mchakato wa kuwapata viongozi nani anapendekeza kuwa fulani akagombee na kwa nini?
Ufahamu/conciousness;
Kitu pekee cha muhimu kwa mwanadamu hapa duniani na ndio siri msingi...
Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu.
Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali.
Jiji lenye vyanzo...
Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋.
🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
Bongo Star Search 2026 - Msimu wa 16 🔥
Sasa inaitwa CRDB Bank Bongo Star Search 2026
Mambo muhimu ya msimu huu:
1. Theme & Zawadi
Theme: "Next Level Revolution" + "Beyond Borders"
Mshindi anaenda na milioni 50+ na gari jipya
2. Sio uimbaji tu tena
Msimu huu umepanuka. Sasa wanakubali...
Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja.
Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.