Tumechoka na urasimu wa Bodi ya Mikopo (HESLB)

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
503
157
Leo nimeenda ofisi ya loan board ya chuo kikuu kwenda kudai statement. Nimekuta wanufaika kibao wanalalamika huduma mbovu loan board. Mtu unaenda kudai statement unaambiwa subiri ndani ya siku 7.

Sasa nimekuta watu wanalalamika wamekuja kila wiki hawapewi statement na huduma hawapati. Na wanalalamika wametokea mbali sana na nikagundua deni la kwenye mtandao walishamaliza wanasubiria clearance letter ya loan board.

Nilichogundua Loan board wanaandaa mazingira ya kupiga hela kuwaficha watu ukweli. Hivi kweli statement usubirie wiki 1 na nimekuta hamna watu wengi loan board.

Kingine ukiingia online kuulizia statement hawakupi wanakupa provisional loan amount. Leo nimeenda loan board wanasema kiasi cha mtandao online nichakukadiria. Kwahiyo it means kupata statement lazima uende kwao ofisini. Haya mtu anatoka mbali mno anaambiwa subiri ndani ya wiki 1.

Bodi ya mikopo wamesahau kauli ya mwenge nchi kuendeshwa kitehama. Mie naona bodi yote ya loan board ifumiliwe wanaandaa mazingira upigaji hela. Yaani statement ichukue wiki 1 aise hawa majamaa majambazi.
 
Mi nimechangia tangu january mwaka huu na wanakata laki na 50 kwa salary kwa miezi saba mpaka now eti nimelipa million moja na laki tatu tu piga hesabu kwa miezi saba wamekata 450k kila mwezi na salary slip ninazo

Raisi awamulike nakosa mda kazini kwenda makao makuu
 
Ndugu hayajakukuta nimeenda kuthibitisha mie mwenyewe na mie nikawa muhanga.
 
Nakupa ushauri acha kwenda wasubilia mlangoni matokeo yake ndio hayo unakaa wiki nzima fanya hivi ingia kwenye tovuti yao angilia chukua namba ya sm branch yoyote ile nakushauri chukua Zanzibar, wapigie sm uko ofisi mikoani hawako busy Sana kama miji mikubwa mwanza, au arusha so wamekaa tu hawapo busy watakupa miongozo uifuate in two hours wanakupa statement yako, kupitia email

Kama unaitaji stop order wapigie tena sm wape tarifa Kisha nenda DHL watumie pay slip yako in three day piga sm utambiwa stop order yako ipo tayali omba DHL lipia in two day unapata stop order yako
 
Stament ndio unayo peleka kwa mwajili ili arekebishe makato? Kama ni hiyo, nikitumiwa kwa email hiyo statement inakuwa ni valid kusubmit kwa mwajili? Inakuwa na muhuri ama nini ili kuonesha uhalali wake?
 
Stament ndio unayo peleka kwa mwajili ili arekebishe makato? Kama ni hiyo, nikitumiwa kwa email hiyo statement inakuwa ni valid kusubmit kwa mwajili? Inakuwa na muhuri ama nini ili kuonesha uhalali wakstat

Stament ndio unayo peleka kwa mwajili ili arekebishe makato? Kama ni hiyo, nikitumiwa kwa email hiyo statement inakuwa ni valid kusubmit kwa mwajili? Inakuwa na muhuri ama nini ili kuonesha uhalali wake?
Statement inaonyesha deni lako na mchanganuo wa ulivyokopeshwa na unavyofanya marejesho pia Kuna control number ambayo Kama unataka kuclear deni lako basi unatumia hiyo number so ukilipa deni lako unampeleka pay slip bodi wao watangalia kwenye control namba yako kama deni limeisha wanakuandikia stop order ambayo inaonyesha kuwa hawakudai hiyo ndio unamlelekea afisa utumishi wako anastopisha makato yako
 
Leo nimeenda ofisi ya loan board ya chuo kikuu kwenda kudai statement. Nimekuta wanufaika kibao wanalalamika huduma mbovu loan board. Mtu unaenda kudai statement unaambiwa subiri ndani ya siku 7.

Sasa nimekuta watu wanalalamika wamekuja kila wiki hawapewi statement na huduma hawapati. Na wanalalamika wametokea mbali sana na nikagundua deni la kwenye mtandao walishamaliza wanasubiria clearance letter ya loan board.

Nilichogundua Loan board wanaandaa mazingira ya kupiga hela kuwaficha watu ukweli. Hivi kweli statement usubirie wiki 1 na nimekuta hamna watu wengi loan board.

Kingine ukiingia online kuulizia statement hawakupi wanakupa provisional loan amount. Leo nimeenda loan board wanasema kiasi cha mtandao online nichakukadiria. Kwahiyo it means kupata statement lazima uende kwao ofisini. Haya mtu anatoka mbali mno anaambiwa subiri ndani ya wiki 1.

Bodi ya mikopo wamesahau kauli ya mwenge nchi kuendeshwa kitehama. Mie naona bodi yote ya loan board ifumiliwe wanaandaa mazingira upigaji hela. Yaani statement ichukue wiki 1 aise hawa majamaa majambazi.

Kwa hiyo ile provisional loan balance ya kwenye mtandao sio sahihi?
 
Mm kwenye salary slip linasoma ovyo halibadiliki na wamekata miezi saba saa kwa laki nne na 50 ambayo kwa saba almost unakuta ni milion tatu na kitu ivi

Ila kule linasoma kuwa nimelipa million moja la laki tatu tu tatizo liko wapi😥😥😥
 
Kwa hiyo ile provisional loan balance ya kwenye mtandao sio sahihi?
Baba dawa wakupe statement wakishakupa utajua deni halisi. Deni la kwenye mtandao unaweza kuta wamekuovercharge au hela zilikuwa hazifiki.lakini naamini deni la mtandao ndo lenyewe.

Sasa hawa wanajua ushamaliza deni wanataka waendelehe kukata hela au kupiga deal.
 
Nakupa ushauri acha kwenda wasubilia mlangoni matokeo yake ndio hayo unakaa wiki nzima fanya hivi ingia kwenye tovuti yao angilia chukua namba ya sm branch yoyote ile nakushauri chukua Zanzibar, wapigie sm uko ofisi mikoani hawako busy Sana kama miji mikubwa mwanza, au arusha so wamekaa tu hawapo busy watakupa miongozo uifuate in two hours wanakupa statement yako, kupitia email

Kama unaitaji stop order wapigie tena sm wape tarifa Kisha nenda DHL watumie pay slip yako in three day piga sm utambiwa stop order yako ipo tayali omba DHL lipia in two day unapata stop order yako
Upumbavu tu
 
P
Leo nimeenda ofisi ya loan board ya chuo kikuu kwenda kudai statement. Nimekuta wanufaika kibao wanalalamika huduma mbovu loan board. Mtu unaenda kudai statement unaambiwa subiri ndani ya siku 7.

Sasa nimekuta watu wanalalamika wamekuja kila wiki hawapewi statement na huduma hawapati. Na wanalalamika wametokea mbali sana na nikagundua deni la kwenye mtandao walishamaliza wanasubiria clearance letter ya loan board.

Nilichogundua Loan board wanaandaa mazingira ya kupiga hela kuwaficha watu ukweli. Hivi kweli statement usubirie wiki 1 na nimekuta hamna watu wengi loan board.

Kingine ukiingia online kuulizia statement hawakupi wanakupa provisional loan amount. Leo nimeenda loan board wanasema kiasi cha mtandao online nichakukadiria. Kwahiyo it means kupata statement lazima uende kwao ofisini. Haya mtu anatoka mbali mno anaambiwa subiri ndani ya wiki 1.

Bodi ya mikopo wamesahau kauli ya mwenge nchi kuendeshwa kitehama. Mie naona bodi yote ya loan board ifumiliwe wanaandaa mazingira upigaji hela. Yaani statement ichukue wiki 1 aise hawa majamaa majambazi.
Profesa badru ni chi*i sana ndo aliharibu bodi, wamekuwa kama bayport kutotoa balance
 
PProfesa badru ni chi*i sana ndo aliharibu bodi, wamekuwa kama bayport kutotoa balance
Kwa kweli loan board ni bodi ya wapiga dili. Yaani statement wiki nzima tushawachoka. Inamaana taarifa za wadaiwa kwenye mfumo hauko.

Au hizo siku 7 ndo wamejiwekea muda wa kubadirisha taarifa
 
Mimi nikajua Mambo yanaenda kitehama lakini kama bado wapo enzi za ujima.Wanashindwaje kutuma barua ya stop order kwa mwajiri moja kwa moja wao ilihali wanachukua fedha kwa mwajiri kila mwezi bila bodi kukusumbua wewe .Likija jambo la stop order ndio wanataka kukusumbua sasa
 
Back
Top Bottom