Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

authenticity

Member
Apr 13, 2021
13
6
Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?

JPEG_20210511_132042_-562566962.jpg
 
Hii inatokana na mkataba wa ajira kama kuna saa moja kwa ajili ya lunch, cha msingi masaa walao nane ya kazi kwa siku.
 
Back
Top Bottom