Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana!
Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
Nimefanya biashara kwa miaka kadhaa. Nimefanya na watu mbali mbali wake kwa waume, ninaowajua kwa sura na wengine kwa mawasiliano pekee. Nimefanya na wa masafa ya mbali na majirani pia.
Kati ya biashara zote hizo biashara niliyoona ni ya kipekee sana na zile nilizofanya na wake zangu. Kumbuka...
Bodi ya Wakurugenzi ni sehemu muhimu ya uongozi wa kampuni au shirika.
Majukumu ya Bodi ya Wakurugenzi:
1. Kutoa mwelekeo na sera za jumla za kampuni.
2. Kuchagua na kusimamia Mkurugenzi Mtendaji (CEO).
3. Kuhakikisha utawala bora na uwajibikaji.
4. Kuidhinisha bajeti na mipango mikubwa ya...
Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa.
Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.
Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.
Pia Bashe amesema...
Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri.
Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita ) asimpange Kiungo wangu Mkabaji Bora na Fundi wa muda wote Fabrice Luamba GENTAMYCINE Ngoma.
Golini...
Habari wa ndugu,
Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro.
Maana nilikuwa na wazo la kununua ndizi mbichi nizipeleke Dodoma kwa mtaji wa laki 7.
Karibuni.
Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market yangu ni watu wa kipato cha chini na cha kati.
Naomba msaada wenu
Habari wana JF,
Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini
1. Hatua gani za kufuata kisheria?
2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji?
3. Changamoto zikoje na faida?
Tafadhari naomba msaada ili...
Habarj wakuu
Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika.
Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa.
Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business.
Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
Habari za wakti huu;
Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
Salaam!
Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.
Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi...
Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii.
Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina.
Msaada tafadhari.
Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo.
Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na marketing yake.
Pia nilitamani nijue gadgets zinazouzika sana ni zipi.
Karibuni kwa ushauri.
Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku.
Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri?
Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa.
Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua kwa kila kitu. As if wanataka kufanya vitu vya muhimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.